Naombeni ushauri, nataka kugombea ubunge

Karagwe lina mwenyewe mkuu, Kuna binti machachali sana, kwa jina Praxeda Mazimba. Huyo binti ameshaombwa na wananchi.
Hiyo we hujui siasa za nchi hii kila jimbo atapangwa mtu ambaye hukutegemea, na anashinda kwa nguvu
 
Anza kuwa chipukizi wa mascauti huko, anza unafiki, fitna, kindakindaki wa kupindisha mambo, penda kiki, vaa mavazi nadhifu, chomekea, majungu kwa ma opponents, kujipendekeza, kuwa bwawa, kachanjwe, mwabudu mkulu, hapo siasa na ubunge weka mikononi. Epuka kusema kweli. Kila la kheri.Mungu bariki tz
 
Hahaaha
 
Hapo vip!!
Kiukweli ni shauku yangu Ya muda mrefu sasa,ya kutaka kusaidia Jamii yangu ya kitanzania kwa njia Ya uongozi, lakini nataka nianze kugombea ubunge kanda Ya kaskazini na baadaye kuwa kiongozi wa ngazi za juu.

Mimi ni kijana mwenye Elimu ya kutosha tu na nina ndoto Ya kuwa kiongozi mkubwa ili niweze kusaidia jamii Yangu ya kitanzania, inayopapasa kwa miaka mingi mlongo wa Maendeleo pasipo mafanikio.

Wadau nifanyaje, niweze kufikia ndoto zangu, infact uwezo mkubwa wa uongozi ninayo lakini kwa nature Ya ngozi nyeusi nitaambulia majungu.

Please nataka mentors wakunishauri nianzie wap..
Masharti ni haya:
1. Lazima uwe mchawi.
2. Lazima uwe mnafiki.
3. Lazima uwe muongo kiwango cha PhD.
4. Lazima uwe mnyenyekevu na mtiifu kwa M/kiti wako wa chama.
5. Lazima uwe na roho mbaya ya kujipenda kwanza kabla ya wananchi wako.
6. Mwisho, ni lazima ujivike joho la ushetani ili kulinda nafasi yako pamoja na maslahi yako endapo utaipata.
 
Back
Top Bottom