Ushauri: Tabia ya mke wangu kunidharau inaniumiza sana

Upo sawa to yaaaan hawa viumbe wenzetu hawa most of then they are minded blind yan kaz umemtaftia wewe then unafanya mamb kama hayo hapo ukichunguza kuna kijamaa kinamdanganya wewe bro amsha popo achana naee na kama ukirud akikusumbua peleka mahakaman
 
Poole, ni mapito ya dunia. Ushauri wangu, kama kweli una nyumba usiuze, pangisha mkuu. Uza gari. Viwanja na nyumba viache, ila uhakikishe vina hati yenye jina lako. U never know, ukirudi kuanza moja ni very expensive, wengi walifanya hivyo wakashindwa. Kila la kheri.
 
Haya maisha kwel hayana formula m2 umeona umsaidie msaidiane katka maisha mara ghafla anabadlka.... Ungemuacha vilevile nayo ingekua shida maskin pole jipe moyo... Upendo ni gharama unaweza ruka mkojo ukakanyaga kinyesi mfate uko aliko and talk to her ucwe una assume tu ukiwa arusha nenda mzungumze.... Upendo ni gharama sana kumpenda m2 ni gharama kubwa na lazma ukubal yote ila kuna muda ukifka inabd umuache mtu kwa ajil yako mwaya.... Kukaa kmya co suluhisho... Soln ni kuongea nae na ukajua msmamo wake uko wapi katika ndoa...!
C dhan kama hata ungekua ww
Ungeweza kwenda aliko
Kuanza upia kuongea nae
Kwa sababu ww co mwny
Kosa mwny kosa n yy

Yan mtu anakaaa mwez bila
Kukupgia cm na ukipga ww
Haipokelew na huyo alikua
N mkeo

Na ww ndo ulimuinua
Ili msaidiane maisha yawe mazur
Na mlee mtt kwny mazingira
Mazur

Af anafkia hatua hyo yakubadilika
Kiashicho then mm ndo
Niende nkamuombe
Tukae chin tuongee

Kwan nmemkosa nn mm
Na yy ndo ana makosa


Wacha jamaaa ameamua
Maamuz mazur tu
Maaana hawez kuendelea
Kupenda aspopendwa
 
Upo sahihi sana mleta mada, kubwa ni kwa kutokumuharibia, kumsamehe na kazi uliyonayo ni kumsahau tu. Hii ni kazi ngumu sana, usijali kuna nguvu za asili ktk kusahau mkuu,. Ndo maana huwa tunacheka na kupata furaha tena hata baada ya misiba mizito.

La kutoka nje, hapa lazima kuwe na swali la kukuuliza. Huwa unatoka nje na mifumo ya huko unaijua? Wasiwasi wangu unaweza ukaenda kwa stress tu, ukiharibu, hili litakuwia gumu sana kulihimili. Unatakiwa ukue zaidi kiuchumi, na pia oa hata kwa malengo mafupi tu ya kukabiliana na kipindi hiki.
 
Mkuu maamuz mazur sana
Hayo na uko sahihi
Kabsa

Mwanamke akiamua
Kubadilika n zaid ya ibilis
 
mkuu pole sana huyo mkeo kaisha pata DUSHE mpya hilo halipingiki.kuna ya kufanya ya muhim mengi tafuta mssmbwanda mpya tena mkali kuliko hata mkeo wa kupozea machungu na utulie

ikiwezekana hata mkeo amuone
 
Nilikuwa nasoma kwenye hadithi tu kumbe malimbukeni wapo bado Mmh....

Ila kama unampenda na ni mke kabisa wa ndoa.... *Dont rush* .. just give time ili maamuzi yoyote utayofanya yawe done with the right mind...

Kwa sasa being away itakusaidia sana, mpatie nafasi yake na wewe take your time to do constructive things,Quietly....

Siku akili zikiwa zimemrejea kaa nae chini umueleze msimamo wako ukiwa akili imeshatulia na wewe... and do the right thing (either kumrejea au kumuacha)

... life has to continue, usijiliaumu, usiwaze sana mradi mtoto alimwacha na yuko mikono salama na anapata mahitaji yake....

Life ni mitihani and beleave me u r being prepared for the best.... and soon that will be histry.... One day utamshukuru mungu...

"imagine angekuwepo na umepata nafasi ya kuishi nje ya nchi ungeweza kwenda?"... I think ingekuwa more complicated....


NB:
Bibie akishapigika jiandae na drama za kutaka mtoto....Hii huwa wanatumia kama mbinu za kufrastrate mtu na kutaka kurejewa....

All the best ndugu
 
Nna waswas na.nguvu za giza
mana.sio.akili.ya mtu wa kawaida kabisa..
Mmmh! Wanawake huwajui wewe, haya kwao ni ya kawaida kabisa. Mwanamke hata awe smart kiasi gani na mwanaume wake ampe kila kitu chenye matamanio mwilini mwake na machine pake, usaliti ni kugusa tu tena inategemea na nguvu tu za ushawishi za huyo anaemshawishi si zake.

Huwa wanaanza kusaliti huku wakijilaumu, then kwa kasi ya ajabu wanatoka mazima, don't trust a woman.
 
C dhan kama hata ungekua ww
Ungeweza kwenda aliko
Kuanza upia kuongea nae
Kwa sababu ww co mwny
Kosa mwny kosa n yy

Yan mtu anakaaa mwez bila
Kukupgia cm na ukipga ww
Haipokelew na huyo alikua
N mkeo

Na ww ndo ulimuinua
Ili msaidiane maisha yawe mazur
Na mlee mtt kwny mazingira
Mazur

Af anafkia hatua hyo yakubadilika
Kiashicho then mm ndo
Niende nkamuombe
Tukae chin tuongee

Kwan nmemkosa nn mm
Na yy ndo ana makosa


Wacha jamaaa ameamua
Maamuz mazur tu
Maaana hawez kuendelea
Kupenda aspopendwa
Mkuuu unaelewa maana ya kujitambua.. M2 ukijitambua utajua kuishi na malimbukeni wa maisha hasa walioshka pesa ukubwan kama uyo dada! Kingne cc tukiongea yy ndo anabak na maamuz ya maisha yao ya ndoa mkuu! Nasstiza upendo ni gharama
 
Dah unanikumbusha jamaa yangu ila yeye ni Muethiopia tulikuwa tunafanya kazi pamoja muda mrefu nchi za watu, alikuwa anasomesha mchumba wake USA na karibu likizo zoote alikuwa anaenda huko. Dada kagraduate jamaa karudi toka likizo USA tuna muona kabadilika, yupo peke yake muda mwingi, hamuongelei mchumba wake tena kama alivyozoea, anacharaza kinywaji sana, anakuwa mmbishi sana kazini na mgomvi, utendaji wa kazi ukaanza kuwa mbaya sana sana.Ila muda woote hatukuwa tunajua ni kitu gani kimemtokea. Kuna wakati aliugua akapewa likizo ya muda mfupi ya matibabu, aliporudi ikawa mambo yaleyale - Cha kushangaza kuna siku aliamua kuondoka kurudi nchini kwakwe bila ofisi kujua. Ofisi ikaamua kumfuta kazi na vifaa vya kazi akaambiwa aviwasilishe hukohuko nchini kwake kwenye ofisi yetu ya Addis Ababa...... Baadaye taharifa zikaja kuwa chanzo cha mabadiliko ya tabia ya mwenzetu kumbe ni mchumba wake. Inasemekana alipoenda likizo ya mwisho mwanamke wake alimwambia amepata mchumba mwingine hivyo yeye asahau mahusiano yao kabisa.... Jamaa yake mpya wa huyo aliyekuwa mchumba wake naye akasiliba kabisa kwa kumuonya kuwa asijaribu kuingilia mahusiano na demu wake anayedai mpya kwake la sivyo atamchapa risasi. Na jamaa tunamjua ni mwoga sana hivyo aliamua kurudi bila kutunishiana misuli na mwizi wake.......Baadaye Boss wetu wa kazi alisikitika sana alipopata hizi details na kuishia kusema laiti angelijua tatizo lilikuwa ni la mahusiano angempa msaada zaidi wa kisaikolojia badala ya kumfukuza.....Alikuwa jamaa poa sana sana kazini ..Dah mahusiano wakati mwingine huzaa majanga jamaa alipoteza kazi nzuri nadhani na waliokuwa wanamtegemea nyumbani nao waliathirika pia.
Ni afadhari ujikite kwenye shughuri zako za msingi maana ukimwazia sana huyo demu akili inaweza haribika kaka, amekutana na maisha mapya huko...
Kuna matokeo yote, chanya na hasi kama dunia isingekuwa na hii jinsia. Wengi wameharibu ndoto zao kupitia mahusiano yaliyoharibika.
 
Wewe si ndo mr "Sitaki raha"?
Kwa nini unalialia na kuomba ushauri hali hutakagi raha, kaza buti hiyo ndo 'sitaki raha' buana.
 
Duu,pole sana,kwan i mlifunga ndoa halali au ni ile ya njoo tuishi wote, kama ningejua hilo ningekuwa na chakuongea au cha mushauri
 
Mkuuu unaelewa maana ya kujitambua.. M2 ukijitambua utajua kuishi na malimbukeni wa maisha hasa walioshka pesa ukubwan kama uyo dada! Kingne cc tukiongea yy ndo anabak na maamuz ya maisha yao ya ndoa mkuu! Nasstiza upendo ni gharama
N kweli mkuu lakin
Nadhan unaona hapoo
Sasa jamaa atafoc apendwe?

Na mwanamke anaonesha haon
Unuhim wa jamaa kwa sasa
 
Back
Top Bottom