Ushauri: Tabia ya mke wangu kunidharau inaniumiza sana

Kwanza pole sana kwa yote yaliyo kukuta...pili wana wake sio wakuwapa asilimia mia moja....na hata maandiko matakstifu yamesema tuishi nao kwa makini......tatu uamzi ulio uchukua uko sahihi kwa asilimia mia moja.....pole sana......
 
Pole sana ndg ,kwa yaliyokukuta naomba utambue kuwa mwanamke huyo siwako tena mapenzi,ndoa vimekwisha na anamwanaume mwingine anayempenda kuliko wewe na kwakuwa ulisha mtafutia njia ya kutafuta maisha basi hakuhitaji kundelea naye.Sasa cha kufanya achana nae fuata shughuri zako za kutafuta maisha yako na mwanao kama wanawake wapo wengi huyo hakufai kabisa.Onyo ukiendelea kufatilia zaidi yatakukuta makubwa utakujajutia asante.
 
Mkuu songa mbele mimi nikiwa kwenye mahusiano sitakagi kufanya makubwa kwa nilie nae naye pia sitaki afanye makubwa kwangu coz najua mwisho maumivu binadamu watu wakubadilika badilika don't expect too much from them...
 
Asilimia 93 ya wanaume waliooa wanawake walioajiriwa mara nyingi huwa hawana raha na ndoa zao....kamwe sitafanya kosa hilo.
 
Upo sahihi kamanda. Kama uliyoandika hapa ni sahihi basi upo sahihi kwa asilimia 800.

Piga chini mhudumie mwanao tafuta mtoto mwingine mzuri utulie.
tena kama anaenda america au europe arudi na mzungu kbs
 
Pole

Huna sababu ya kuuza nyumba huo ni urithi wa mwanao.....

Ila.mipango yako mengine endelea nayo, lakini ufuatiliaji wa karibu wa mwanao unahitajika hata ukiwa mbali
 
Pole, we fanya venye moyo wako unapenda. Wanawake ni wepesi sana kusahau wema, ni mwanamke gani hajui maisha tunayohangaikia ni sababu tu watoto, amewezaje sahau alikotoka haraka namna hiyo!!! Fanya yako siku akija shtuka ashazeeka
Nakubaliana na wewe kuwa wanawake in wepesi wa kusahau mema
 
30 Reactions
Reply
Back
Top Bottom