Ushauri: Tabia ya mke wangu kunidharau inaniumiza sana

Soo sad kwakweli,mapenzi yanaweza kufanya kugeuka chiz na kupoteza kabisa dira ya maisha... Huyo jamaa alipata msaada sasa?
Hapana nafasi yake ilipata replacement, hata huyo boss wetu naye alihamishiwa country program nyingine.... Imebaki tu historia na pia lessons learnt kwa sisi marafiki zake maana hata kwenye channels za communication haonekani kabisa
 
Mkuu wa kazi nina mambo 2 hapo ya kukuambia...

1. Kwa maneno mengine ninafikiri unatafuta mwanamke wa kupunguzia machungu af akijielewa huyo ndo awe mkeo sio? Ipo ile page ya love connect sijui.

2. Unamuumiza sana dadaako achana na hiyo tabia ya kumwambia mambo ya ndoa yako na kama na yeye huwa anakumbia basi shida ilianza kwenye malezi.

Oveeeer!
Hapana yupo sahihi. Unaweza kumteua mwanafamilia mmoja, akawa mshauri.
 
Naomba niende kwny mada .mke wng alikuwa mama wa nyumban nilikaa nae kwa upendo sanaaa cjawahi kujutia na upendo sanaaa na heshima.mpk Dada yng akasema nifanye mpng mke wng awe na kazi basi nikaanza mchakato kumpa elimu pia nikamtafutia kazi kabla ya kuanza kazi tulikuwa tunawasiliana kila cku maaan nimezaa nae mtoto 1 .nikamtafutia kazi mm nipo arusha akapangiwa kazi bukoba ss ndio tatizo limeanzia hapo.wiki ya kwnz kuripoti mwasaliano yalikuwa mazuri sanaaa maaaan hela ya kuanzia nilimpa ss alipoanza kupokea mshahara duuuuh akaaanza kunifanyia dharau napiga cm hapokei hata miss calls 30 akija hakutafuti nakutafuta cku akipenda nikimuuliza Mara nilikuwa busy na kazi hata jmosi na jmpl busy ucku busy basi umerudi home mbona unitafuti Mara simu haikuwa na Salio nakuuliza tafadhali nipigie kwny cm ukuwa nazo mbona ulipokuwa ujaanza kazi ukuwa na tabia hiyo umefika uko umekuwa busy.kunipigia cm kwa mwezi Mara 1 tenaaa aniuliza mzima ww nilikuwa nakusalimia au naomba kuongea na mtoto basi unaweza kumuona online whatuaspp online ukituma SMS asbh anakujibu ucku ukiuliza nilikuwa unachat na best zake daaa niliumia siku ambayo aliniambia kwa ss siwezi kufanya lolote ana kazi yake .cku hiyo nilitka nimfanyie kitu ambacho hawezi kusahau maishani mwake nilitaka niende kazini kumharibia kazi ila Dada yng aliniomba nisifanye hivyo baaada ya kumwambia nakuja kufany hivyo akamwambia mama yake.mama yk akaniomba nisifny hivyo sikutka kumusikiliza ila nilisikiliza ushauri wa Dada yng .mwaka 1 umeisha sina mawasiliano mazuri mama yake akaniomba nimsamehe nikakubali ila kasema atajirekebisha wiki 1 tu baadae akaanza tabia yake toka anze kazi cjawahi kumuomba hela yake najua mshahar anapokea bei gani kuna cku nikamuomba hela kidogo akasema nakutumia baaadae akaniambia sina nilimuuliza hela yako unafanyia nn maaaan sijawahi kkuomba hela yako wala kkuliza mshahar wako unapeleka wapi hana cha kuniambia. Kwnz kuongea nae kwa mwezi 1 moja mpk nimeamua nikae kimia simuulizi lolote nimemuacha afanye anachojickia siwahi kumuuliza ss.mm kwa ss nimekuja dar kikazi Nina miezi 2 wala cjamwambia km nipo dar nimekaaa kimia Nina mpango wa kusafiri nje ya nchi kwa muda wa miaka 2 sijamuambia nyumba ya arusha nimemuweka MTU natka niuze nyumba ya dar na gari yang niondoke zng bila kumwambia mwanangu nimepeleka kwa Dada yng na nimemtafutia shule nzuri mm najindaaa kuondoka nikifika nje ya nchi namba itakuwa haipatikan ya tz hawezi kunipata nirudi tz nitaaanza maisha Mpya na mwanangu kuoa tenaaaa sitaki je nimefany kosa au pia ndugu zake nimeacha mawasiliano nao kabsa baaada ya ndugu yako unifanyia sivyo
Dah!yan wanawake wengne km mazombi,chakufanya nenda kwa wazaz wake waweke wazi khs maamuz yako 7bu uksepa kmyakmya wale wazaz wa bnt wataendelea kuamin bado uko vzr na bnt yao mana bint hawez kuweka waz situation ilyopo kat wenu kwa wazaz wake....ni vzr wazaz wakae wakjua bnt yao ni bogasi
 
Pole sn,ila jitaidi kupiga moyo konde aslimia kubwa ya wanawake wengi WaPo ivo...c mbaya jari mwanao t....ushatenda wema nenda zako
.
 
Hiyo ndoa ingekuwa yako na mkeo mngekuwa pamoja mpaka leo. Hayo mambo ya dada this dada that yanakera. Eti dada akakuambia umtafutie kazi, dada kakuambia sijui, mama mkwe kasema hivi nikamsikiliza dada.... Funga safari kazungumze na mkeo. Hakuna ndoa rahisi. Mkishindwana nenda huko unakotaka kwenda na usimuache mtoto wako nyuma. Nenda nae kila utakapokwenda mpaka angalau avuke balehe. Chezeni na ndoa yenu na nyumba na gari ila huyo mtoto tafadhali. Mwache dada abebe mizigo yake mwenyewe, na wewe beba wa kwako. Oneeni watoto huruma jamani. Kumtafutia shule nzuri ndo kitu gani?
 
Pole sana mkuu.......uamuzi wako ni mzuri sana.

Umenipa somo mke wangu alinambia atafute kazi leo leo nampiga ban ya kutafuta kazi abaki tu home.

NAOMBA USISAHAU KUTUPA MREJESHO SIKU AKIRUDI KUOMBA MSAMAHA.

All the best.
 
Aiseee wale watu wanaowazuia wake zao kufanya kazi yoyote ili wawe mama wa nyumbani wakiuona uzi huu hata Kama walikuwa na nia yakuregeza misimamo yao hakiyamungu lazima waendelee kukaza hawsaa...
Maana Mada Hii inaumiza Sana
 
Hapana nafasi yake ilipata replacement, hata huyo boss wetu naye alihamishiwa country program nyingine.... Imebaki tu historia na pia lessons learnt kwa sisi marafiki zake maana hata kwenye channels za communication haonekani kabisa
Ooh so jamaa kashakua poa saivi sio
 
Back
Top Bottom