Mtaji wa Milioni 5-10 (TZS): Biashara gani unaweza kufanya?

Hapa ndio huwa changamoto mwenye pesa hajui biashara gani ya kufanya mwenye wazo la biashara hana mtaji wa kuanzia anyway! angalia ni kitu gani unachofikira kwa haraka na ukipendacho kufanya, biashara ziko nyingi depends na ww umefocus nini zaidi.Milion 8 ni nyingi kwenye biashara za kati lakini inaweza potea pia usipokuwa na malengo bora

IDEAS
1.Duka la nguo au vyombo
2.Kuuza matofali, kokoto na mchanga
3.Pub
4. Ufundi wa kushona nguo za kike na suti za kiume unanunua machine unaajiri mafundi wazuri.
5.Saloon ya kike au kiume standard kali tu
6.Car wash
Shukran ndugu
 
Shukrani
Anzisha biashara ya nguo
Shukrani mkuu
 
Napenda kuokoa pesa (saving money) nimeweza kufikisha kiasi cha shiling milion 8. Sasa napata wakati mgumu ni biashara gani naweza kuifanya kwa mtaji huu wa pesa.

Nahitaji kuwekeza huko kwenye biashara . Naomben msaada wenu tusaidien wengine.
Ahsanten
Ukiwa huna pesa unajikuta una vitu vingi sana vya maana vinakuja kichwani right!? Ila ukishaipata sijui vinaendaga wap! Just kidding

Developing countries kwa maana nyiingine zinaitwa land of opportunity! Kuna opportunities kwenye kila sectar inayojaribu kuigusa! Shida kubwa ni ukosefu wa mtaji ila kwa ww sio changamoto tena yaan mtaji sio swala kwako!

8M ni pesa nyingi sana labda kwa harakaharaka nikuchambulie baadhi ya biashara unaweza kuzifanya kwa mtaji huo

1: biashara ya miti au mbao
Hii inaweza ukawa kmchuuzi ila inahitaji uwe na uhakika wa masoko au mlimaaji kabisa sema hii inahitaj uvumilivu kdg kwa watu wa maeneo ya iringa wanaweza kutoa ufafanuz kdg kwenye hilo l. Gharama ya ukuzaji wa hekari moja ya miti mkoani iringa mpk kufikia mavuno haizid 1M na ukivuna na kuuza miti kwa mti ni hadi @30000-@60000 inategemea na ukubwa na mda wa mti hekari moja inauwezo kuchukua miti mpk 600 so kwa hesabu ya harakaharaka apo minimum kwa hekar moja unaweza pata mpk sh 18M baada ya miaka sita mpk 10 na kwa uusaji wa mbao km unachanja mwenyewe inafika mpk mara mbili ya hiyo!

2: uuzaji wa nafaka na matunda!
Swala lililo wazi ni kwamba hamna siku ambayo tutaacha kula kwamba tumeshiba kwa maana nyingne hii ni fursa kubwa sana mikononi mwetu! Biashara hii ni ya msimu na mahitaji uzur ni kwamba karibia kila kipindi kina msimu wa tunda au nafaka husika. Apa inabidi ucheze na masoko usiwe bendera fata upepo kwa mfano msimu wa nanasi! ukinunua nanasi moja shamban ni 300-@500 ukipelekea dar ni 800-1000 sawa utapata faida ila ukijulisha na gharama za usafilishaji kwang haijkaa sawa vile ila ukipereka maeneo km tarime automatically bei inapanda mpk 1500-2000 kwa nanasi plus na gharama za kusafirishia kwa centa moja hazizid 1M nakuhakikishia unaweza tumia km 5M ukapata faida mpk 15M per one trip! Ukiachana na mananasi nikupe mfano mwingne wa mpunga wakat wa mavuno gunia moja la mpunga linakua 35K-45k inadepend na eneo iyo ni kwa bei ya morogoro then ukitafuta godown lako au lakukorisha ukautunza baada ya miez sita after mavuno automatically huwa unapanda kwa 85k mpk 90k unaweza pata faida mpk mara mbili

3:kilimo biashara cha matunda, mbogamboga na ufugaji wa kuku
Itaendelea .......!

NB: NILIVOTAJA HAPO HASA THOSE NUMBERS SIO COSTANT ZINABADILIKA MWAKA HADI MWAKA, MSIMU HADI MSIMU, ENEO NA ENEO AU SUPPLY AND DEMAND PIA.
 
1. Fresh Foods and Drinks (Branded)

- Hapa utaanzisha restaurant itayohusika na usindikaji wa vinywaji visivyokuwa na kemikali na chakula fresh (Ready to Serve). Ukiangazia sehemu za Drive - In au kufanya delivery within 20 KM. Let's say! John Bambo Sepia (Hii ni juice yenye mchanganyo wa Chenza, Banana, Zabibu na Tangawizi), John Bambo Fellah (Huu ni mchanganyo wa roasted Chicken, Tortillas na Vrille.

2. Clothingline (Branded)

- Utaanzisha mavazi vyema kutafuta wabunifu hata wawili base zaidi katika mavazi ya casual, commercial na business. Tengeneza partnership na watu wenye titles lakini hawana brand. Let's say! John Bambo x Marioo (Hizi ni tisheti, fulana, kofia na sports kits zinazoweza kuvaliwa sehemu yoyote), Hakikisha unalenga soko la kati na chini.

3. Digital Auth / SMM Agency / Multimedia Company (Branded)

- Hapa fungua agency itayohusika na masuala ya kidigitali, uchapaji na uendeshaji masuala kidigitali. Kupitia John Bambo Digital Agency utaweza kulipia packages tofauti kama taasisi, kampuni au mtu binafsi kuendeshwa kwa masuala yako kidigitali, matengenezo ya Billboards, Syncing Boards, Fleets and Co. Uchukuaji picha, video kutengeneza commercial ads and co. Unavyozidi kukua tanua wigo anza Production issues hadi Audiovisuals Company.
 
Daah hapa nahitaj uchambuzi wa Hali ya juu sana, Coz naona kama ni vitu vipya kwang
 
Kwangu mimi nitakushauli hivi..

FUNGUA M-PESA,AIRTEL MONEY,TIGO PESA NK
FUNGUA CRDB WAKALA,NMB WAKALA NK.

Endapo ukipata sehemu yenye mzunguko baada ya miezi 6 utakuja kunishukuru..
 
Mawazo utapata mengi mwisho wasiku utachanganyikiwa,
Ushauri agalia unachopenda kufanya ww,
Wekeza kidogo kabla unaweka kikubwa,
Ila ukiweza nunua mashine ya kutengeneza juices ya miwa,ukawa mbunifu
Mfano, .machine 1 inauzwa 1.5m Ukichukua 3=4.5m uendeshaji 2.1m tafuta locations tofauti,kwa siku unaweza laza 120k faida so ni ww tu
 
Kwangu mimi nitakushauli hivi..

FUNGUA M-PESA,AIRTEL MONEY,TIGO PESA NK
FUNGUA CRDB WAKALA,NMB WAKALA NK.

Endapo ukipata sehemu yenye mzunguko baada ya miezi 6 utakuja kunishukuru..
NImetoka kulifikiria hili swala muda c mrefu. Ahsante sana
 
Yan kitendo tu cha kuuliza hili swali katika dunia ya biashara umeshafail....biashara iweze kuanza na ili ikue au ifanikiwe inahitaji iwe ni hitaji lako la moyo kwanza ambalo litakalopelekea hadi utafute huo mtaji ....
tofauti na hapo itachukua muda sana mpaka miaka mitano ustabilize na si ajabu utajikuta unahama hama biashara....nisiseme sana ushauri wangu tu katika state ulionayo angalia ishu za hisa ama uweke kwenye fixed acc (faida si kubwa lkn walau)ili usipoteze iyo hela maanake gia ulioanza nayo unaweza kupoteza huo mtaji wote
 
😂😂fresh TNT
 
Kwa kiasi hicho cha pesa ni mtaji mzuri kwa aina nyingi sana za biashara.la muhimu ni wewe kujua kwanza umeipataje je ni kwa kuuza asset au ni mkopo.Je unahitaji return ya kiasi gani kwa mwezi/mwaka?Je una ujuzi gani?Je kwa sasa unajishughulisha na nini kwa ajili ya kupata kipato kwa sasa?

Hatua ya pili ni BIG PICTURE yako kwa sasa.Je ukijitazama 5+ years ijayo unajiona ukiwa katika kiwango gani cha maisha katika fani yako na maisha yako kwa ujumla.

Baadhi ya biashara unazoweza kufanya nia pamoja na biashara ya Restaurant,Kuuuza vunywaji vikali,Pub,Duka la vitabu,Duka la spea za pikipiki.Unaweza pia kuingia katika biashara za kiasasa kama digital solutions mbalimbali mfano web platforms,etc.Unachopaswa kufahamu ni kwamba Kila aina ya biashara ina changamoto zake na jambo la muhimu ni kuwa mbunifu na mwenye bidii.

Karibu PM iwepo ungependa kupata huduma ya BUSINESS SETUP and Management kutoka kwetu.

Tunakutakia kila la heri
 
Napenda kuokoa pesa (saving money) nimeweza kufikisha kiasi cha shiling milion 8. Sasa napata wakati mgumu ni biashara gani nawezaWekeza upate riba kila wiki kuifanya kwa mtaji huu wa pesa.

Nahitaji kuwekeza huko kwenye biashara . Naomben msaada wenu tusaidien wengine.
Ahsanten
 
Tafuta Toyota Hiace kwa ajili ya biashara ya daladala (itategemea na mji ulipo maana sehemu zingine Hiace zilishapigwa marufuku) yenye hali nzuri ya Sh milioni 6/7 halafu hiyo 1M inayobaki fanyia service ndogo ndogo kwenye hiyo gari. Anza biashara though itakuhitaji uwe serious sana kureturn hiyopesa uliyonunulia.
 
36 Reactions
Reply
Back
Top Bottom