Naombeni ushauri kwa huyu mdogo wangu wa kike mwenye matokeo haya kidato cha sita mwaka huu

OTC

Member
Jul 14, 2018
8
2
Amepata division two ya 11 ya PCB. phyc D, Chemistry D, Biology C. anapenda kusoma kozi ya afya. naombeni ushauri kama atapata au
 
Kaka ata Mimi nmepata hivi napenda kusoma medical laboratory ila naomba TCU wameandika uwe na C ya chemia bios D na E ya physics daah nawaza kwel
 
Mna wa kumsomesha wenyewe Au anategemea Mkopo wa Serikali?

Kama uwezo wa kumsomesha mnao Basi akasomee udaktari Kwa Kuwa sifa stahiki anazo lakin Kama mnategema Mkopo wa Serikal ushindani Ni Mkubwa Sana
 
hizo ni minimum admission requirement entry haimanishi ukiwa na hizo ni lazima utapata hiyo degree programme kwa vyuo vya serikali sahau kupata course za afya jaribu vyuo vya private
Tena Private yenyewe IMTU au KIU
 
Mna wa kumsomesha wenyewe Au anategemea Mkopo wa Serikali?

Kama uwezo wa kumsomesha mnao Basi akasomee udaktari Kwa Kuwa sifa stahiki anazo lakin Kama mnategema Mkopo wa Serikal ushindani Ni Mkubwa Sana
hapa tunategemea mkopo
 
Kaka ata Mimi nmepata hivi napenda kusoma medical laboratory ila naomba TCU wameandika uwe na C ya chemia bios D na E ya physics daah nawaza kwel
Umependa kitu kizuri bro hautojutia katika maisha yako.
 
Amepata division two ya 11 ya PCB. phyc D, Chemistry D, Biology C. anapenda kusoma kozi ya afya. naombeni ushauri kama atapata au
Koozi za afya zote chini ya TCU zinadai at least a C ya Chemistry haijalishi ni chuo gani.
 
Amepata division two ya 11 ya PCB. phyc D, Chemistry D, Biology C. anapenda kusoma kozi ya afya. naombeni ushauri kama atapata au
Kwa vigezo vya TCU hatapata. Cut off point ni 8 kwa masomo matatu ya PCB lakini Chemistry na Biology awe na C. Aingie kozi yoyote SUA atapata, isipokuwa veterinary competition itampa shida.
 
vp kuhusu digirii ya nursing wao wanahitaji nini
 
Back
Top Bottom