Naombeni ushauri kwa aina hii ya mbwa

Mbwa ni matunzo tu ukitaka awe koko atakuwa koko,.Nb Huyo Mbwa ni German Shepherd sema sema Mzingatie Misosi na matunzo baada ya mwezi mmoja lete mrejesho.
Kama huwajui mbwa bora ukae kimya usome kwa wengine uelimike!
 
Jamani nahitaji mbwa GS ile pure breed, awenhata na week 2 poa tu, nina 50K ipo mfuko wa shati hapa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom