Naombeni ushauri kuhusu kozi na maisha ya chuo kikuu

Somea SHERIA ☆☆☆

HAPO UTAKUWA NA WIGO MPANA KWENYE

SELF employment ☆☆☆100%
Serikalini☆☆☆
Private organisations ☆☆☆

***Hakikisha ukimaliza degree unaunga kabisa certification za wanasheria

LAW !!!!!!!!

Usisome kozi tu sababu demu/mshkaji wako anaisoma,

Hii kozi ina uhitaji mkubwa sana !
Sawa mkuu
 
Hongera, ushauri wang ukifika chuo chalii angu achana na WANAWAKE (slay queens) na POMBE.

Thank me Later.
 
Habari zenu wakuu,

Mdogo wenu nashukuru nimemaliza salama mtihani wangu wa kumaliza kidato cha sita natumaini nitafaulu vizuri.

Naomba mnipe maelekezo juu ya mambo ya kuyazingatia ninapoelekea katika level ya University ambayo nasikia hutakiwi kukurupuka.

Kinginee ni kuhusu kozi nzuri ya kwenda kuisomea maana kiukweli mimi sina uelewa wowote juu ya kozi za chuo.

Nipo mchepuo wa arts - HGL

Nawasilisha kwenu wakubwa zangu

M nakushauri what ever chuo utachopangiwa na ukiwa unaenda kwa hiyari yako JICHANGANYE NARUDIA TENA JICHANGANYE NARUDIA TENA JICHANGANYE we kuanzia first year mpaka unamaliza uwe mtu wa mishe mishe yani huku na kule usibweteke UTAKUJA USHUKURU
 
Kwanza pole na hongera kwa kumaliza mtihan. kama tunavyojua n watu wachache sana wanamoyo na utayar wakutaka ushauri kuhusu chuo almost watu wengi wanajikutaga wao ndo wanajua Kila kitu/wengine hupotezwa sana wanapoenda kuaply vyuo stationary jambo la msingi inabid uisome tcu guide book New TCU Guide Book 2022 - TZCAREERS na kama hautaelewa kozi vizur unaweza kupitia hapa kupata maelezo ya kozi vizuri Course Archives - TZCAREERS
 
Kasome Political Science, ujiingize kwenye matawi, na ukada...Polepole utapata Suluhu ya maisha yako na Majaliwa tunaweza kukuona kwenye siasa umekuwa mtu mwenye Mpango mzima.....
 
IFM sio chuo kikuu so siwezi bishana na wewe
University of Dar es salaam
Shule ya biashara(UDBS) watu wanasoma masomo ya biashara toka HGK,HGL,HKL,HGE,EGM,PCM,PCB,CBG, na ECA.

Both Bcom in
Accounting
Finance
Marketing
Human resources
Banking and Financial services
Tourism and hospitality management
 
M nakushauri what ever chuo utachopangiwa na ukiwa unaenda kwa hiyari yako JICHANGANYE NARUDIA TENA JICHANGANYE NARUDIA TENA JICHANGANYE we kuanzia first year mpaka unamaliza uwe mtu wa mishe mishe yani huku na kule usibweteke UTAKUJA USHUKURU
Nimekuelewa mkuu
 
Back
Top Bottom