Naombeni ushauri kuhusu kisa cha binti huyu


K

Kop

Senior Member
Joined
Oct 17, 2012
Messages
166
Likes
276
Points
80
K

Kop

Senior Member
Joined Oct 17, 2012
166 276 80
Mama mmoja alikuwa anajisikia vibaya bila sababu, akamwita binti yake ofisini, wakati wanaongea Mchungaji akaingia, binti akasema tumwombe mama, mchungaji akamwambia ungejua wewe ndio unahitaji maombi kuliko mama yako.

Binti akaanza kuumwa tumbo, akaletwa hospital tukakuta ni mimba nje ya kizazi, ikabidi afanyiwe oparesheni.

mshana jr , Nimejaribu kuangalia, kudadisi mama kujisikia vibaya na ugonjwa wa binti anayeonekana mzima lakini kichwa kinauma tu, sipati jibu
wewe kama mwamini kuna nguvu ya ziada hebu nifafanulie zaidi pia kwa faida ya wengine, hiyo pembetatu, mama kujisikia vibaya, kumbe binti mgonjwa na maneno ya mchungaji.

Imetokea kweli sio stori ya kutunga
 

Forum statistics

Threads 1,273,052
Members 490,245
Posts 30,469,012