Naombeni ushauri kuhusu combination ya CBG

Jamani mimi ni mwanafunzi niliye hitimu kidato cha nne mwaka jana bahati nzuri nikafaulu kwa grade 2.18 na Nimechaguliwa kidato cha Tano.

Lakin wakuu nilikuw napenda sana nisome PCB lakin physics niliteleza nkapata "D" lakin Chemiry "C" na Biology "B" hivyo basi sikuchaguliwa hio PCB badala yake nimechaguliwa CBG; sasa najiuliza mtu akisoma CBG akafaul Vizur jeh!

Kuna kazi gan naweza kupata au ataenda kusomea nin chuon wakuu naombeni ushaur wengine wanasema CBG haina ajira hvyo nakata Tamaaa kabisa wakuu. Wengine wanasema bora niende chuo nkaone, isiwe tabu ngoja nisikie wana JF

Plz anayejua au aliyesoma hii comb anipe ushaur
Nimemaliza ADVANCE 2018 mwinyi secondary ipo mkuranga kwa hio cbg.Dogo kasome ipo vizuri tu kiukweli now days kozi za afya ni ngumu.ila ni easy kutoboa currently niko zangu Udom (Bsc Mta).
 
HUu ni uongo!! CBG anasoma course kibao za afya ikiwemo na Nursing but some of courses hawezi kusoma kama Medical doctor na zingine hazizidi 4 hv.
So usimkatishe tamaa kabisa
Acha ubishi wewe, unajiabisha
 
Uwezi kusoma course za Afya bila Physics...ata ivo TCU wanabadilisha vigezo kila kukicha...kama mwaka huu kusoma MD wanataka D za PCB kuanzia O level adi A level
 
Aende ATC/DIT/MUST akapige diploma yake safi ya electrical,mechanical au civil engineering akifika degree achukue hzo hzo au biomedical engineering
 
Acha kufuata mazoea ya watu na maoni ya watu kuhusu CBG kasome ufaulu poa cz afya tyu ndo autasoma bt hata huy wa PCB kesho kutwa mtakuwa nae pamoja
 
Kwa wanafunz wajao najua mtoa mada upo shulen saiv ni kwamba kwa course yako unayotaka biotechnology CBG anasoma lakn course kama pharmacy,MD, lab na nursing sina hakka kama CBG wanasoma bado kumbukumbu yang inanambia mala ya mwsho CBG kusoma hzo course ilkua 2016 na ndo mwaka ambao mm pia nlmalza advance na nilkua hyo CBG na baadh walienda course za afya na wengne course nyngne nzur tu na hao PCB pia wengne walienda afya na wengne course zngne sio kla ukisoma PCB bas una guarantee ya kwenda MD au pharm hapana pambana kwanz na matokeo yako yatoke vzr chuo zpo option nyng sana za course nzur zenye ajira pia sikuiz ajira haikutafut unaitafuta ww mwenyew na ukktafuta ajira zpo tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom