Naombeni ushauri kuhusu combination ya CBG

Mbona entry requirements inajieleza apo au English in shida,,Soma maelezo ya Medical doctor na Nursing kama ujaona tofauti basi huna hoja aisee

We umesoma wapi mpaka unaponda vyuo vya watu!!
Mimi nimesoma Mlimani mkuu chuo kinacho chukua wanafunzi walio fauru sana
 
Dogo acha ujinga wewe, mimi nimefanya kazi NACTE zaidi ya miaka 5, saivi nipo TCU kwenye kitengo cha udahili. Ninacho kushauri nakielewa.
Ukisoma hiyo CBG yako utakosa vigezo vya kusoma medicine, Nursing, Pharmacy n.k
Isipokuwa utaweza kujiunga na Environmental Health tu.

Nimemaliza.
Mengine yote sipingi wala sikatai lakini hili la kufanya kazi NACTE wala TCU nakataa.
 
Kaka kiukwel Mimi tokea nasoma hiyo CBG yangu sikuwa na mawazo kbx yakusoma doctor isipokuwa Mimi nilitamani kusoma maswala ya Afya lkn katika nyanja ya maswala ya genetic na baada ya kuhitimu kidato Cha sita nilifanikiwa kupata cred ambazo kipekee zilinifanikisha kujiunga na Ile Ile course ya ndoto yangu ambayo Ni bancherol degree in molecular biology and Biotechnology UDSM Kaka so kuhusu kutamani course za Afya hasa udaktari cjawah
Ninachojua nikuwa vigezo vya kujiunga chuo kikuu hubadilika mara kwa mara kwa hiyo usije mshauri mtu ukitegemea mambo yatakuwa hivyo siku zote, na hii combination ya CBG kuna mdau aliwahi nidokeza kuwa hata serikali inafikiria kuifuta!
 
Kwà Mara ya kwanza nasikia CBG Inafutwa ni 2009 Hadi leo 2020 zaidi ya Miaka 10 inapeta tu wakati mwingine muwe mnatumia masala Kama akili haifanyi kazi, Hivi programme Kama Agriculture, Agronomy, Animal science, Forest anazitenga vipi na hiyo CBG!!!?
 
Kuifuta CBG ni kuipunguzia SUA zaidi ya 60% ya intake. Hakuna logic ya kuwa na plan ya kusoma Physics kisha ukasome Forestry, Agronomy, Horticulture and the alike. Labda ubadili gear angani.
 
Kuifuta CBG ni kuipunguzia SUA zaidi ya 60% ya intake. Hakuna logic ya kuwa na plan ya kusoma Physics kisha ukasome Forestry, Agronomy, Horticulture and the alike. Labda ubadili gear angani.
Tatizo humu Kuna Watu wanashauri afu ubabaki unashangaa tu Kama Hawa ni wasomi kweli na kasoma kweli kafika hata Diploma tu achilia mbalii Degree!! Yaan unakuta mtu kasoma PSPA chuo anashauri humu kuwa Kusoma CBG ni kupoteza muda Mara ooh sijui Muda si mrefu itafutwa!!

Ukichunguza vizuri eti kisa tu kaona hawawezi Kusoma Afya, PCB wangapi tumesoma na mbaya zaidi vyuoni tumekutana na Kwenye hizi hizi programmes tumejazana na CBG!!!
 
Kwà Mara ya kwanza nasikia CBG Inafutwa ni 2009 Hadi leo 2020 zaidi ya Miaka 10 inapeta tu wakati mwingine muwe mnatumia masala Kama akili haifanyi kazi, Hivi programme Kama Agriculture, Agronomy, Animal science, Forest anazitenga vipi na hiyo CBG!!!?
Mbona unatukana mkuu kisa CBG?? Kwa maelezo yako chuo chenyewe umeingia juzi halafu hutaki hata kusikia mawazo ya wengine!
 
Dogo acha ujinga wewe, mimi nimefanya kazi NACTE zaidi ya miaka 5, saivi nipo TCU kwenye kitengo cha udahili. Ninacho kushauri nakielewa.
Ukisoma hiyo CBG yako utakosa vigezo vya kusoma medicine, Nursing, Pharmacy n.k
Isipokuwa utaweza kujiunga na Environmental Health tu.

Nimemaliza.
😂😂 😂Kwamba sasa hivi upo TCU kitengo cha udahili
 
CBG hana vigezo vya kujiunga BSc Health Laboratory ile ya kupima wagonjwa hospitalini pia hana vigezo vya kujiunga BSc Pharmacy.

Ili ujiunge na hizo shahada mbili lazima uwe na pass ya PHYSICS, CHEMISTRY na BIOLOGY kwenye mtihani wa A Level.

Lakini pia hiyo nursing anajiunga kwa tochi.

Reference
Soma TCU Undergraduate Admission Guide Book 2020/2021 ukarasa wa 11 na 12.

View attachment 1516152

lakini mkuu kuna jamaa yuko hapa hospital anafanya internship alisoma bachelor of pharmacy napigaga nae story nakumbuka alisema kasoma cbg
 
mwamba_ngori,

Kasome.

Nikozi Nzuri na isiyo na mzigo mzito kama PCB na yenye fursa nzuri tu.

- Ni Rahisi Kufaulu Kuliko PCB ( Hata ukiona hali imekuwa tete, unakomaa na Chemistry & Geography.

- Hata kama utasoma ualimu, kwa maso6 ya C&B uhitaji bado ni mkubwa.

- Pia kuna Bsc Pharmacy, Nursing, Labo et al
Sio kila mada lazima Uchangiee mzee kujikuta much know kumbe utopolo mwisho wa siku unapoteza vijana..
 
lakini mkuu kuna jamaa yuko hapa hospital anafanya internship alisoma bachelor of pharmacy napigaga nae story nakumbuka alisema kasoma cbg
Hiyo ni zamani mzeee enzi hizo hata Medicine unasoma kwa CBG kwenye vyuo vya private ila now CBG hata Unesi huendii nakwambiaaa...!! Labaf Env Science
 
lakin kuna mwana anafanya internship hospital hapa ya bachelor of pharmacy alaf alisoma cbg, au vigezo labda vimebadilika currently?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom