Naombeni ushauri kuhusu CCTV camera

JMF

JF-Expert Member
Jun 29, 2013
1,735
2,686
Salaam wana JF.
Naombeni uzoefu kwa mliowahi kutumia au mnaotumia CCTV camera iwe nyumbani, sehemu ya biashara au ofisini. Ni camera ipi inafaa kwa sehemu kama bar ambapo usiku kuna mwanga hafifu? Bei zake zipo vipi? Binafsi nahitaji camera ambayo itasevu picha kwenye pc au memory card yake.
 
Kwanza Camera zipo za aina mbili yaani IP na Analog Camera.Tofauti zao ni kwamba Analog ni Plug and play(passive),na bei zake kidogo ni nafuu.IP camera zinahitaji configuration kidogo. Bei za Camera zinatofautiana kutokana na Megapixel(uwezo wa picha),Zinaanzia 2MP mpaka 6MP etc.

Kawaida camera zina Controller yake ambayo kitaalamu inaitwa NVR(IP camera) au DVR(analog camera) ndani ya hiyo contoller kuna Hard disk(HD) ambayo ina uwezo kuhifadhi Recorded kulingana na ukubwa wake.

Vilevile kama una access ya Internet kwenye eneo lako unaweza kuziona Camera zako kupitia Simu.

Brand zinazofanya vizuri ni kama
1.HikVision
2.LongSee
3.Alhua etc.

Ukihitaji kufungiwa na ushauri nitafute kwa Namba hii 0684249465.
 
Bei zake zikojee??
 
Analog Camera
2MP -TSh45000
3MP -Tsh 55000
4MP -Tsh 68000
DVR - Tsh120,000(inategemea ni ya Channel ngapi).
ETC.
Coxial Cable 100m -130,000
Connector zake -1200@1
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom