Naombeni ushauri kidogo wananzengo, nahitaji kuwajua Wanawake wa Kihehe

Bi mkubwa wangu ni mhehe so nawaelewa maana ni ndugu zangu. Wahehe na wabena wamepishana kidogo sana.

Ni wanawake wavumilivu sana ukiwakuta wanaofuata desturi. Wamefunzwa kuheshimu mwanaume na kumpa nafasi yake.

Wanaghubu na hasira za haraka sana...... Anaweza meza vidonge kisa umemtukana au kumsimanga na wanapenda kudekezwa yaani ukiwa mtu wa kubembeleza basi mwanamke wa kihehe hatokushinda.

Narudia tena hii sifa, wanamajibu ya hasira ila wanautii na wanajirudi haraka sana wanapokosea. Wanapenda sana utulivu wa ndoa so kama sio muaminifu then usije ukajaribu kuingia nae sababu unaweza msababishia maumivu ya moyo akajiua.......

So kama umepata mwanamke wa kihehe na hauna makuu then mzee weka ndani mkuu hautajutia. Changamoto zingine ni za kawaida tu, ila ile mitabia ya kama wale wa pande zile wale ambao ukioa unafanya kila mtu anakusikitikia hawa wa kihehe hawana kabisa kabisa hizo kero....
 
Mkuu mi nakushauri hao watu hawafai kuna jamaa yngu kaowa huko sasa hvi anaisoma namba ni wajeuri hao
Wahehe ukiwa mkorofi wanakisirani sana.... Atakuonyesha jeuri ila wanawahi kujishusha.....
 
wahehe , wabena ni wavumilivu, wanyenyekevu na watii kwa waume zao oa mkuu hakika hutojuta sema usiwe na michepuko ukawa wewe ndio tatizo kwenye ndoa
 
  • Thanks
Reactions: Luv
Niliwahi kuwa na mmoja alinishobokea mwenyew mpaka akamuacha jamaa ambaye walipanga kuoana!! Ila pia akawa anawasiliana na ex wake flan daah! Sema me sikuwa na mpango nao wwte so haikuwa tatizo kwangu!!Wanapenda dudu kinoma hao watu wa Iringa! Usimpomtomba vizuri umekwisha mzee!! Hakikisha unamsugua kisawasawa!!!
 
Tatizo watu mnaongelea kama vile hawa kizazi hiki ni kama cha zamani cha waliofundwa unyagoni.

Mtu anasema "wahehe wavumilivu blah blah blah".

Mmesahau tamaduni zilivyokuwa diverse sana siku hizi na kuchanganyika kwa makabila kiasi kuwa unaweza kukuta mwanamke ni mhehe lakini hata huko uheheni hajawahi kufika.

We mkuu oa tu mengine mtajuana mbele kwa mbele.
 
Mie nina Mwanamke wa Kihehe, huyu demu namuelewa sana. Ni mwanamke fulani hivi ukimuona unasema kabisa ama kweli Mungu fundi. Mtoto mrembo sana, ila mie nina mpango wa kumuweka ndani.

Ila kabla ya kumuweka ndani hebu nisaidieni kuwajua wahehe kiundani. Siwajui wahehe, hasa wanawake wa kihehe tabia zao hasa zikoje.

Naombeni mnipatie sifa zao, kabla sijazama sana. Ujue moyo ukizama sana kuna upofu unaingiaga hapo. Sasa kabla ya kuzama sana, nataka niwajue hawa watu wakoje.

Mila zao, ukitaka kuoa kwenye hilo kabila na Pia Maisha yao kiujumla yanakuwaga aje aje hivi.

Natanguliza shukrani
Ktk hali ya uhalisia kabila la kwanza lenye wanawake wavumilivu ktk ndoa ni wahehe,, wanafuata waha, wasukuma nk, hayo makabila ni wavumilivu sanaaaa ktk ndoa. Hiyo ni tasmimi sio ya kupikwa, sasa tunapokuja kuhusu tabia ni mazingila aliokulia mtu, hapo sasa ndio kuna changamoto, hakuna kabila ambalo halina mwanamke Malaya hakuna kabila ambalo halina mwanaume mlevi. Kwa hiyo mkuuu soma tabia za huyo mwanamke wako na mazingila aliokulia ndio vitakufanya upate jibu sahihi, jambo lingine ukitaka mwanamke mcha mungu nawe uwe mchamungu, huwezi kutafuta MWANAMKE mcha mungu ikiwa ww ni mlevi, ukitaka mwanamke alietulia nawe ufunge zipu yako

Sent from my itel S11 using JamiiForums mobile app
 
Kama vipi we chukua demu wa Kimakonde tu, wana viuno kama cherehani, yaani huwezi kujutia pesa zako.
 
Mie nina Mwanamke wa Kihehe, huyu demu namuelewa sana. Ni mwanamke fulani hivi ukimuona unasema kabisa ama kweli Mungu fundi. Mtoto mrembo sana, ila mie nina mpango wa kumuweka ndani.

Ila kabla ya kumuweka ndani hebu nisaidieni kuwajua wahehe kiundani. Siwajui wahehe, hasa wanawake wa kihehe tabia zao hasa zikoje.

Naombeni mnipatie sifa zao, kabla sijazama sana. Ujue moyo ukizama sana kuna upofu unaingiaga hapo. Sasa kabla ya kuzama sana, nataka niwajue hawa watu wakoje.

Mila zao, ukitaka kuoa kwenye hilo kabila na Pia Maisha yao kiujumla yanakuwaga aje aje hivi.

Natanguliza shukrani

HAYA MAMBO YA MAKABILA UKIYAFATILIA KIUNDANI ZAIDI UTASHIDWA KUFANYA MAAMUZI SAHIHI KATIKA MAISHA YAKO

KITU CHA MUHIMU KTK KUMUANGALIA MWANAMKE JIULIZE ANA UPENDO WA DHATI NA WEWE,YUPO TAYALI KUYAVUMILIA MADHAIFU YAKO , ANAKUPENDA KWELI ???

HIVYO NDO VITU MUHIMU MWANAMKE KAMA HAJAKUPENDA HATA ATOKEE KABILA MBINGUNI WORK DONE SAWA SAWA NA ZERO
 
Muongo mkubwa wewe
Hilo kabila ni pasua kichwa mkuu
1.kiburi ndio nyumbani
2.Dharau
3.kujikweza
4.hawajui mapenzi
5.Hawajui kukataa (chawote/malaya)
6.Wavivu sana

Kachukue jiko rock city hakika hutapata stress kamwe.
 
Wahehe nawafahamu sana tena sana,
1. Kuhusu kiburi, si kwamba wanakiburi ni vile wanakupa heshima unayostahili km mwanaume ila ukizingua hasa kwenye uaminifu tu hapo anaweza asiongee na wewe hata mwezi. Na atpinguza au kuacha kufanya yale alikuwa akikufanyia km mme mwaminifu.
2. Ukarimu si wachoyo ni wakarimu.
3. Si wasumbufu km vile wakiona hujarudi wakupigie misimu eti ukowapi unafanya nini? Hiyo hawana wakijua uko poa basi.
4. Hawana uchu na tamaa ya fedha, hatakama anafanya kazi yupo tayari kukukabidhi mshahara wewe ndo umpe unachotaka.
Na mengine mengi. But mind u akugundua pasi shaka ya kwamba unamsaliti hahahaaaaaa lahashaaa ndo hawa unaona wana comment negatively
 
HAYA MAMBO YA MAKABILA UKIYAFATILIA KIUNDANI ZAIDI UTASHIDWA KUFANYA MAAMUZI SAHIHI KATIKA MAISHA YAKO

KITU CHA MUHIMU KTK KUMUANGALIA MWANAMKE JIULIZE ANA UPENDO WA DHATI NA WEWE,YUPO TAYALI KUYAVUMILIA MADHAIFU YAKO , ANAKUPENDA KWELI ???

HIVYO NDO VITU MUHIMU MWANAMKE KAMA HAJAKUPENDA HATA ATOKEE KABILA MBINGUNI WORK DONE SAWA SAWA NA ZERO

Fact brother
 
Wahehe nawafahamu sana tena sana,
1. Kuhusu kiburi, si kwamba wanakiburi ni vile wanakupa heshima unayostahili km mwanaume ila ukizingua hasa kwenye uaminifu tu hapo anaweza asiongee na wewe hata mwezi. Na atpinguza au kuacha kufanya yale alikuwa akikufanyia km mme mwaminifu.
2. Ukarimu si wachoyo ni wakarimu.
3. Si wasumbufu km vile wakiona hujarudi wakupigie misimu eti ukowapi unafanya nini? Hiyo hawana wakijua uko poa basi.
4. Hawana uchu na tamaa ya fedha, hatakama anafanya kazi yupo tayari kukukabidhi mshahara wewe ndo umpe unachotaka.
Na mengine mengi. But mind u akugundua pasi shaka ya kwamba unamsaliti hahahaaaaaa lahashaaa ndo hawa unaona wana comment negatively

Nimekuelewa Mkuu..! Ahsantee kwa wazo lako
 
Back
Top Bottom