naweza wekeza kitu gani..nina kiasi cha shiling milion 1 na nusu nataka niwekeze katika chuo kikuu saut mwanza hapa choni kuna vitu vimewekezwa mfano stationary.duka la mahtajimadogo madogo,cafeteria,duka la mpesa ,kibanda cha juice n.k ni vitu gan vingine naweza wekeza kwa pesaa hiyo?