Naombeni ushauri kabla sijafanya NECTA

Wazo zuri sana mkuu.
niliskia watu hii mitihani ya hivi vituo ni migumu tofauti na necta je ni kweli mkuu?
Sio kweli mkuu ,
Sema wanafunzi wengi wa open schools wanakuaga na mambo mengi sana kichwani nadhani unaelewa nacho maanisha.

We fight ili uende udsm au udom ukale mkopo na boom.
Pia solve past paper kuanzia 2010-2020 kwa masomo kama history ,literature, English na Geog

All the best
 
Ni kweli mkuu mambo ni mengi sana lakini unaweza kunishauri ni muda gani mzuri zaidi kusoma
 
Sio usiku wa manane kuamka
Hata muda huo mzuri kama Unaweza.La maana mtangulize Mungu halafu soma kwa bidii na kwa kusolve maswali necta review 2000-2020.Pia ungefanya masomo saba ungepata cheti kupata.Advance hapo mbona uhakika .....ukishindwa sana unaanza na diploma.Lakini kwa matokeo hayo wewe utapata credits za advance private....na ungekuwa umepiga masomo saba nadhani hata shule za serikalini advance ungechaguliwa
 
Back
Top Bottom