Naombeni ushauri juu ya matatizo haya ya ndoa

UMUNYU

JF-Expert Member
Jan 28, 2017
685
484
Kaka yangu anayeishi Tabora yuko kwenye ndoa kwa miaka 10 sasa!

Mwaka jana alifanikiwa kuongeza biashara zake!Tatizo linaloisumbua familia ni kuwa kila kipato kilipokuwa kikiongezeka na tabia ya shemeji imebadilika sana!Heshima hakuna tena!Kaka anapigwa na mkewe Kama mtoto!

Ndani hakuna amani!Shemeji amekuwa akitishia kuwa akiachwa tu lazima Mali igawanywe pasu kwa pasu!Ameshajiunga na kwenye umoja eti wa kutetea haki za wanawake!Ninaomba wanasheria mnijuze hivi "haki" za mume kwenye ndoa ni zipi?

Tumeshakaa sana vikao vya kusuluhisha vinavunjwa na shemeji kwa kukosa nidhamu!Msaada wadau ni kitu serious!Tumejaribu kumshauri kaka aende hata kuripoti Polisi hasa anapopigwa lakini sijui kuna shida gani hapo maana anaona "aibu"
 
Kama ana watoto amuachie nyumba ahamie kwa nyumba ndogo. Kama hana watoto anitafute nimpe mbinu.
Ana watoto watatu!Amefungua biashara zake mkoa mwingine ambako hajajenga Ila amepanga nyumba lakini shemeji anamfuata huko na kumfanyia fujo!Anadai anataka amilikishwe Mali za Tabora!
 
Mwambie Kaka yako afungue account benki kwa jina la mtu mwingine anayemuamini,kisha awe anahamishia hela zake huko kwa siri,akimaliza hilo kinachofuata ni kumtwanga talaka tu huyo mkewe,

Kauli ya mkewe kusema akiachwa watagawana mali ina maanisha kua huyo mke anathamini zaidi mali kuliko ndoa yake,huyo hafai,anaishi na Kaka yako kimwili tu ila akili yake haipo kwenye hiyo ndoa,

Hakuna cha kupatanishwa hapo,huyo hawezi kubadilika ndani ya nafsi yake,

Life is very short,kwanini Kaka yako aishi maisha ya mateso? Mke jeuri huivunja ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe,piga chini huyo ili akayaone maisha huko mbeleni,

Na kwa akili ya huyo mkewe hata wakigawana mali yeye hawezi kuendelea kabisa,na kitakachofuata ni majuto mjukuu.
 
Kama kaka mwenyewe halalamiki mkuu we kwanini unaumia?

Ukiona hivy ujue haya mambo yako ndani ya uwezo wake, siku yakimzidi atatafuta solution tu.

Kwenye uzi wako umetamka neno mali mara nyingi sana, nahisi hapo ndio tabu inapoanzia. HIZO MALI NI ZA KAKA YAKO NA MKEWE, NYIE HAZIWAHUSU KABISA NA ACHANENI NAZO. Hizi nadhani ndio zinawatoa kisebusebu.
 
Asante sana kwa ushauri,nimeupokea!Sisi hatuna tabu wala hatuhitaji pesa ya kaka kwa sababu marehemu baba alituachia mashamba ya mpunga kando kando ya ziwa Tanganyika na ndiyo chanzo cha huo utajiri alionao kaka!

Nikuweke wazi Mimi kwa kaka siendi kwani Shem akituona baadhi yetu hudhani tumeenda kuwapungunzia walichonacho!Shemeji hakuwa hivyo kitabia kabadilishwa na kuongezeka kwa ukwasi!

Hata kaka hana amani!Siku moja analala nyumbani halafu zaidi ya wiki analala hotel in I!
 
Mwambie Kaka yako afungue account benki kwa jina la mtu mwingine anayemuamini,kisha awe anahamishia hela zake huko kwa siri,akimaliza hilo kinachofuata ni kumtwanga talaka tu huyo mkewe,

Kauli ya mkewe kusema akiachwa watagawana mali ina maanisha kua huyo mke anathamini zaidi mali kuliko ndoa yake,huyo hafai,anaishi na Kaka yako kimwili tu ila akili yake haipo kwenye hiyo ndoa,

Hakuna cha kupatanishwa hapo,huyo hawezi kubadilika ndani ya nafsi yake,

Life is very short,kwanini Kaka yako aishi maisha ya mateso? Mke jeuri huivunja ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe,piga chini huyo ili akayaone maisha huko mbeleni,

Na kwa akili ya huyo mkewe hata wakigawana mali yeye hawezi kuendelea kabisa,na kitakachofuata ni majuto mjukuu.
Nashukuru sana kwa ushauri!Umegusa kila kona!Naanza kuufanyia kazi sasa hivi!
 
mashemeji kazini
yaani nyie huwa mnapenda kuchochea moto siku wakipatana mnaishia kumchukia mke wa mwenyewe
 
Kaka yangu anayeishi Tabora yuko kwenye ndoa kwa miaka 10 sasa!

Mwaka jana alifanikiwa kuongeza biashara zake!Tatizo linaloisumbua familia ni kuwa kila kipato kilipokuwa kikiongezeka na tabia ya shemeji imebadilika sana!Heshima hakuna tena!Kaka anapigwa na mkewe Kama mtoto!

Ndani hakuna amani!Shemeji amekuwa akitishia kuwa akiachwa tu lazima Mali igawanywe pasu kwa pasu!Ameshajiunga na kwenye umoja eti wa kutetea haki za wanawake!Ninaomba wanasheria mnijuze hivi "haki" za mume kwenye ndoa ni zipi?

Tumeshakaa sana vikao vya kusuluhisha vinavunjwa na shemeji kwa kukosa nidhamu!Msaada wadau ni kitu serious!Tumejaribu kumshauri kaka aende hata kuripoti Polisi hasa anapopigwa lakini sijui kuna shida gani hapo maana anaona "aibu"
Mwanaume anapigwaje na mkewe aisee? Kaka yako atakua na shida kubwa, inawezekana hata huwa hamt.ombi mkewe. Hakuna mwanamke mwenye ubavu wa kumpiga mwanaume anaemt.omba, labda kama anamgusa gusa tuu sekunde 2 kakojoa, habari imeisha, next round hadi baada ya siku 3 tena.
Kaka yako ni mzima? UMUNYU
 
Nyie mtakuwa wale ndugu waleeee wenye lawama.

Anapigwa yeye ni mtoto mdogo? Huenda hakukung'utwa udogoni so ni new experience anafurahia.

Hebu muacheni akung'utwe bana. Sisi tuna wetu tunatamani tuwakung'ute lakini Wana miili hiyoooo hatuwawezi. So huyo awawakilishe.

Na msaada wangu umeishia hapo.
 
Tatizo umegusia sehemu moja tu ya matatizo ya hiyo ndoa,issue sio Mume kupigwa tu bali mwanamke kuwaza mali kuliko ndoa yake,

Huyo Mwanamke huenda hana mapenzi na Mumewe,ama ana tamaa ya mali zaidi kuliko ndoa yake,au kuna mtu anamrubuni kuhusu hizo mali,na wanawake wa aina hii mara nyingi hata wakipewa hizo mali hua hawafiki mbali,si ajabu akipewa hizo mali nae ataenda kumpa/kumhonga mtu aliyemrubuni na hapo ndipo mateso na majuto huanzia.
 
Si aue hizo biashara zote kubabaake...... Atume watu wakope tu vitu na Kisha yeye anavipokea anahamisha.

Mbinu nyingine unaua biashara mwenyewe kidogo kidogo.

Au akopee mkopo benki then dhamana ziwe biashara na nyumba. Halafu anapotea.

Au atume watu waend her life.

Au aende kwa mganga ammalize.

Option ni nyingi kinachotakiwa ni ujasiri wa kufanya.
 
Back
Top Bottom