Nimekuwa nikimshauri ni nini ninahitaji yeye afanye: Awe humble, awe anaongea na mimi sauti ya chini, awe ananisikiliza kile ninachoongea na hata kama ni kukanusha/kukosoa basi awe anafanya kistaarabu, kwa kuwa yeye ni mama wa nyumbani-nikitoka kazini awe ananiriwaza na kunipa pole na kazi! ikiwezekana hapa kunibembeleza kutokana na uchovu wa kutafuta pesa kwa ajili yake na familia yangu. Chakushangaza Hafanyi hivyo, jamani mimi sihitaji aingie gharama yeyote kwa ajili yangu nikunifanyia hayo tu? Kuhusu kumuheshim ninamuheshim sana sana na analijua hilo-ninamuita majina yote mazuri, ninambembeleza sana sana huku nikimueleza jinsi dunia ilivyo; lakini wapi! akijaribu kunifanyia hivyo basi ni week moja tu then anarudi vile vile alivyokuwa awali. HUYU MWANAMKE ANATATIZO GANI? NICHUKUE HATUA GANI?
Nawasilisha wana MMU wenzangu!
Nawasilisha wana MMU wenzangu!