Karimu123
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 243
- 114
Habari wakuu,
Nina mpenzi ambaye anafanya kazi katika Hotel fulani hapa Arusha ni Mnyaki mzuri wa kawaida tu nimekutana nae kama Miez 3.Nilimpenda mana nilimuona ni mtulivu nikaona nijaribu bahati kweli alinikubali lakini toka nimekua nae sijawahi kulala nae isipokuwa tunaishia French Kiss mimi sio mpenda ngono sana.
Hivi karibuni ameanza kunipanda kichwani anapiga sana mizinga aliniambia anaenda Dar nimuongeze nauli nikampa akaniomba hela ya dawa nikampa 40K mbaya zaidi kuna siku alishika simu yangu akaona msg za msichana mmoja simjui nilimkuta kwenye kundi la whatsap aliniuliza vip mbona kimya nikamwambia siko kimya mpenzi alivyoona akareact vibaya nikamuelezea yakaisha, sasa juzi nikashika simu yake nilichokikuta huko lol sijaamini nikuta anachati na wanaume kama watatu hivi sikumuliza kitu jana akawa analalamika sana ooh mim nina kejel sio mkwel nikamuliza wew ni mkwel? Akajibu ndio nikashika simu yake nikamuonyesha msg alimtumia mtu huku akiambatanisha na neno Honey akasema ilo sikati na sina mmoja ninao wengi nikachoka kabisa nikaona isiwe shida nikamwambia whatever naisi kumchukia na roho inauma mana nimemhudumia alafu in return anakuja kunionyesha UKAHABA wake wazi kabisa bila ya aibu nafikiri kumuacha lakin amekula hela yangu na mimi sijafaidika na chochote kwake.
Jana aliniambia tukapime VVU sasa yani nachoka kabisa nikimfikiria sijui nieende au nisiende au nishaurini mana hata sielewi
Nisaidieni hata kwa mawazo mana naisikitikia hela yangu bora nikula serengeti nilewe tu kuliko kumpa mtu bure alafu ananilipa usaliti.