Naombeni ushauri: Je, nimuache binti niliyezaa naye ili niwe na binti niliyekuwa naye kwenye mahusiano tangu chuo?

Habari ya muda huu wanajf.

Mwaka 20×× nilipojiunga na Chuo kikuu nilibahatika kuwa na Binti katika mahusiano na tukadumu mpaka namaliza Chuo na kufikia hatua huyo Binti nilimtambulisha nyumbani Kwa wazazi....
Sijaona sehem unesema mpenzi wako wako wa chuo ana mapungufu yoyote,au amewahi hata kuhisi vitu tofauti,pamoja na wewe kuwa matured enough bado unashindwa kutoa maamuzi juu ya mahusiona yako

Ushauri wangu kwako, kama hukuwa kukosana na mpenzi wako wa kwanza kamrudie kwa msamaha,kama kuna kosa wanaume wengi tunalifanya ni kumcha mpenzi bila kosa lolote,mmetoka mbali sana na huyo bint mwana chuo alikuwa anajua mpenzi au mchumba wake yupo masoma after masoma unambadikikia

Isitoshe yupo tayari kulea mtoto,huyu ulie zaa nae bado hajajitambua kwa mwanamke mtulivu na mkomavu hawezi sema anaondoka na akiondoka usimtufute haya ni mawazo ya mtu asie jitambua

Mwisho isikilize nafsi yako inasemaje
 
Habari ya muda huu wanajf.

Mwaka 20×× nilipojiunga na Chuo kikuu nilibahatika kuwa na Binti katika mahusiano na tukadumu mpaka namaliza Chuo na kufikia hatua huyo Binti nilimtambulisha nyumbani Kwa wazazi...
Wanaume tunakosea sana kusema unapenda mwanao na haupo tayari mtoto kukosa malezi yako,wewe na mama mzazi wa mtoto nani anatakiwa angalie malezi ya mtoto,nani mwenye uchungu na mtoto,nani anajua ukweli wa baba wa mtoto majibu yote anayo mwanamke
 
Sijaona sehem unesema mpenzi wako wako wa chuo ana mapungufu yoyote,au amewahi hata kuhisi vitu tofauti,pamoja na wewe kuwa matured enough bado unashindwa kutoa maamuzi juu ya mahusiona yako...
Nimeupenda mchango wako.

Mtoa mada kazi kwake
 
Wanaume tunakosea sana kusema unapenda mwanao na haupo tayari mtoto kukosa malezi yako,wewe na mama mzazi wa mtoto nani anatakiwa angalie malezi ya mtoto,nani mwenye uchungu na mtoto,nani anajua ukweli wa baba wa mtoto majibu yote anayo mwanamke
Mtoto ni wangu Hilo halina utata kabisa.
 
Sijaona sehem unesema mpenzi wako wako wa chuo ana mapungufu yoyote,au amewahi hata kuhisi vitu tofauti,pamoja na wewe kuwa matured enough bado unashindwa kutoa maamuzi juu ya mahusiona yako...
Oh... Iko hivi
Mpenzi wangu niliekuwa nae Toka chuoni Hana mapungufu yoyote , isipokuw tu Kuna kipindi alikuwa anasumbulia na Tumbo la uzazi

Nikampeleka hospital akatibiwa na Sasa amepona kbsa, hofu yangu ilikuwa naweza ingia nae kwenye Ndoa kumbe Hana Tena uwezo wa kushika ujauzito ila Hana shida Tena
 
Wewe mwenyewe kati ya hao wawili yupi umempenda zaidi? Muoe unaempenda,,,usioe mtu kwa kumuhurumia lazma utachoka tu
 
Habari ya muda huu wanaJF

Mwaka 20×× nilipojiunga na Chuo kikuu nilibahatika kuwa na Binti katika mahusiano na tukadumu mpaka namaliza Chuo na kufikia hatua huyo Binti nilimtambulisha nyumbani Kwa wazazi...
Ka moyo kako kanpenda nani? Sema ukweli? Nani kati yao ukiwa nae unapata furaha? Jibu nikushauri bila unafiki
 
Habari ya muda huu wanaJF

Mwaka 20×× nilipojiunga na Chuo kikuu nilibahatika kuwa na Binti katika mahusiano na tukadumu mpaka namaliza Chuo na kufikia hatua huyo Binti nilimtambulisha nyumbani Kwa wazazi...
Kuzaa na mtu sio kua ety lazima umuoe.... We fanya jinsi moyo wako unasema.

Muoe anaekupenda kweli sio unaempenda badae utajifunza kumpenda huyo anaekupenda....

Ukioa unaempenda atasukumbua
 
Uliyezaa naye kama hujamwelewa , mpe pesa ndefu ya mtaji , mtoto mhudumie full alafu piga bonge moja la U-turn
 
Back
Top Bottom