Naombeni ushauri jamani

symwo

Senior Member
Jan 15, 2014
152
49
Am 29 he is 43 ana watoto wawili daughter 15 years old na son 3years old alizaa na wanawake tofauti..Hajawahi kuoa sasa anataka niwe mke wake ananambia watoto wapo kwa mama zao watakuwa wanakuja kutembea tu kwa baba once in a while which is normal..sisi we can start familia yetu...to make it clear sijakubali bado, naona ka umri tumepishana sana na two kids naona ni buggage I never expected to handle...kizunguzungu..sasa nawajua humu ndani nimeomba ushauri sio ndio muanze kunisema mnishauri vizuri tu.
 
Kipenda roho ......., ukipenda boga penda na uwa lake.
Ushauri:
Mchunguze kwanza!
 
kwani moyo wako unasemaje? maana hujatuambia kama unampenda ama lah
 
acha uselfish....watoto ni mzigo gan isitoshe ni wakubwa na wanakaa kwa mama zao..

Eti mkubwa, wakati unamkubali ulimwona kijana mwenziiiooo!!????

Lastly nipe nr ya huyo unayemwona babu....
 
Hujampenda huyo mwanaume???usijilazimishe
Watoto wanakubana ninii mpaka ujiulize hivyoooo!!!basi olewa na wa miaka 35 ana watoto 5
 
Huu ni upuuzi uliona ukiandika kiswahili yote utapungukiwa?au ndo umetua toka uk?hovyo mxxxssyyy,...
 
tofauti ya umri siyo kubwa, ila tu jipange na timbwili la hao watoto, siyo rahisi hivyo eti watakuja kutembea tu!!
 
acha uselfish....watoto ni mzigo gan isitoshe ni wakubwa na wanakaa kwa mama zao..

Eti mkubwa, wakati unamkubali ulimwona kijana mwenziiiooo!!????

Lastly nipe nr ya huyo unayemwona babu....

Uwe unasoma unaelewa basi kabla hujaanza kutoa cheche, nimesema kabisa hapo juu sijamkubali bado...sasa kama nimemkubali ushauri ningetaka wa nini?
 
Hao mamazao wakishaona mlezi kaingia ndani,unaloo!! Ila jiandae nawewe kuzalishwa afu uachwe kama hao wanawake wenzako.upoo???
 
tofauti ya umri siyo kubwa, ila tu jipange na timbwili la hao watoto, siyo rahisi hivyo eti watakuja kutembea tu!!

Yes I know, thats why kabla sijakurupuka naomba ushauri
 
Hao mamazao wakishaona mlezi kaingia ndani,unaloo!! Ila jiandae nawewe kuzalishwa afu uachwe kama hao wanawake wenzako.upoo???

wamama wanakaa nchi mbili tofauti na huyo baba anakaa nchi nyingine mfano iwe tanzania, marekani na canada...umbali wa nchi uko ivo
 
Achana naye huyo ana pepo la michepuko, ukiona mtu kafika age ya 40's hajaoa lakin kazaa zaa tu kama kambare ujue basi huyo hakuwa ametulia au ana matatizo binafsi, watu wa hivi tunao sana kitaa so tupa kule na tafuta wa kuendana nae wanaume wapo wengi tu.
 
Am 29 he is 43 ana watoto wawili daughter 15 yrs old na son 3yrs old alizaa na wanawake tofauti..hajawahi kuoa sasa anataka niwe mke wake ananambia watoto wapo kwa mama zao watakuwa wanakuja kutembea tu kwa baba once in a while which z normal..sisi we can start familia yetu...to make it clear sijakubali bado, naona ka umri tumepishana sana na two kids naona ni buggage I never expected to handle...kizunguzungu..sasa nawajua humu ndani nimeomba ushauri sio ndio muanze kunisema mnishauri vizuri tu

Sijui mahusiano yako na Muumba wetu,lakini kwetu sisi wakristo tunasema,amani ya Kristo Bwana na iamue moyoni.
 
First mwambie mfunge ndoa..Usikubali njoo tukae...second mwambie kwako watoto wawili ni gumu sana...so you only promise to try your best..ukishindwa asikulaumu...you don't promise to be their perfect mom...
 
Back
Top Bottom