symwo
Senior Member
- Jan 15, 2014
- 152
- 49
Am 29 he is 43 ana watoto wawili daughter 15 years old na son 3years old alizaa na wanawake tofauti..Hajawahi kuoa sasa anataka niwe mke wake ananambia watoto wapo kwa mama zao watakuwa wanakuja kutembea tu kwa baba once in a while which is normal..sisi we can start familia yetu...to make it clear sijakubali bado, naona ka umri tumepishana sana na two kids naona ni buggage I never expected to handle...kizunguzungu..sasa nawajua humu ndani nimeomba ushauri sio ndio muanze kunisema mnishauri vizuri tu.