Naombeni ushahuri nina laki saba nifanye biashara gani, maisha kusaidiana jamani,

Wakuu nimesuffer sana mpaka kupata hizo ela sasa ningependa kuzifanyia kitu cha kuingizia nipeni mawazo yenu jamani.

Kama ni mkristo nenda kanisani ufanyiwe ungamo la dhambi toka rohoni halafu utoe sadaka fungu la kumi la hiyo laki saba halafu Mungu atakwambia ufanye nini !

Amini kuwa mshirika na Mungu katika kazi zako, Ubarikiwe.
 
Natafuta business partner so nipigie nikupe idea yangu kama utakuwa interested tufanye business pamoja.
0766 697 561
 
Inasikitisha saa tusivyo kuwa siriazi, hainigiiailini kwamba unaishi mtaani, unatembea, unakula, unakubywa, unasafiri, unashindwa cha kufanya,

Na hii ya kamba nina mtaji sina wazo ni moja ya uoga,

-Belive me kama huwezi kuumiza kichwa kutafuta waz bora kabisa la kwako la bishara, basi hata biashra hutaweza kuendesha, n baadae utarudikutuuliza sasa niuze vipi na kzalika,

- Mawazo ya ni yale yale kinacho badilika ni techinical isues tu, hakuna wazo jipya la biashra, bali kilichopo kwa sasa ni editing tu,
 
Jamani tuwe serious Kidogo humu na sio tunafanya makuzi kutoa mawazo kwa wanaohitaji ushauri sio km tuchekane
 
Natafuta business partner so nipigie nikupe idea yangu kama utakuwa interested tufanye business pamoja.
0766 697 561

NiPM tushauriane mkuu.Mimi nahitaji mtu mwaminifu tufanye naye biz.
 
Wakuu nimesuffer sana mpaka kupata hizo ela sasa ningependa kuzifanyia kitu cha kuingizia nipeni mawazo yenu jamani.

Laki saba tu hujui chakufanya! ukipata mill 200 siutajimyonga?

Makushauri ukajiunge na forever living coz huo mtaji unatosha na huko utajifunza mengi katika biashara kwa manufaa yako ya sasa na baadae!
 
Wakuu nimesuffer sana mpaka kupata hizo ela sasa ningependa kuzifanyia kitu cha kuingizia nipeni mawazo yenu jamani.

Mkuu, kwani wewe kabla ya kupata hiyo pesa, je, ni biashara gani unaipenda?
Funguka mkuu usaidiwe.
 
Ingekuwa powa kama ungeweka wazi unaish wapi ingesaidia kujua ni biashara gani inafaa eneo hlo
 
kama upo dar na unamuda wa kutosha,kalime matikiti!uzuri wa matikiti ni hayachukui muda mrefu kulima mpaka kuingia sokoni ni kama miezi miwili tu ila yanataka uangalizi wa kutosha na unaweza kufanya kilimo cha umwagiliaji mpaka mara 4 kwa mwaka,kuna post nyingi zinaelezea kilimo cha matikiti na masoko yake,unaweza ukaanza taratibu hata kwa kukodi eneo na baadae ukawa mkulima mkubwa utakayeuza bidhaa zako hata katika viwanda kama vya juisi kama azam!!vijana tujikite zaidi katika uzalishaji na sio uchuuzi peke yake!hii pia itasaidia kubadilisha mawazo ya kwamba kilimo sio ajira kwetu vijana!mimi nipo katika harakati za kuanza kilimo cha matikiti maji mwezi ujao!ipo siku ntaleta feedback humu jamvini,kama ni mafanikio au matatizo niliyokutana nayo,tuombe uzima
 
Umenena vema Mkuu maana mimi mwenyewe nilikuwa "confused"about ujasiriamali na innovation ya idea mpya.Umenifungua akili sana.Ahsante...
 
Inasikitisha saa tusivyo kuwa siriazi, hainigiiailini kwamba unaishi mtaani, unatembea, unakula, unakubywa, unasafiri, unashindwa cha kufanya,

Na hii ya kamba nina mtaji sina wazo ni moja ya uoga,

-Belive me kama huwezi kuumiza kichwa kutafuta waz bora kabisa la kwako la bishara, basi hata biashra hutaweza kuendesha, n baadae utarudikutuuliza sasa niuze vipi na kzalika,

- Mawazo ya ni yale yale kinacho badilika ni techinical isues tu, hakuna wazo jipya la biashra, bali kilichopo kwa sasa ni editing tu,

das way wa2 wanatafuta bussines idear so kama hana
 
Kama ni mkristo nenda kanisani ufanyiwe ungamo la dhambi toka rohoni halafu utoe sadaka fungu la kumi la hiyo laki saba halafu Mungu atakwambia ufanye nini !

Amini kuwa mshirika na Mungu katika kazi zako, Ubarikiwe.

Umenena vyema, Mim c mkristo, lakini kumshirikisha Mwenyezi MUNGU katika kujitafutia kipato kutakufanya ushinde mitihani Mingi sana ktk biashara yako
 
kama upo dar na unamuda wa kutosha,kalime matikiti!uzuri wa matikiti ni hayachukui muda mrefu kulima mpaka kuingia sokoni ni kama miezi miwili tu ila yanataka uangalizi wa kutosha na unaweza kufanya kilimo cha umwagiliaji mpaka mara 4 kwa mwaka,kuna post nyingi zinaelezea kilimo cha matikiti na masoko yake,unaweza ukaanza taratibu hata kwa kukodi eneo na baadae ukawa mkulima mkubwa utakayeuza bidhaa zako hata katika viwanda kama vya juisi kama azam!!vijana tujikite zaidi katika uzalishaji na sio uchuuzi peke yake!hii pia itasaidia kubadilisha mawazo ya kwamba kilimo sio ajira kwetu vijana!mimi nipo katika harakati za kuanza kilimo cha matikiti maji mwezi ujao!ipo siku ntaleta feedback humu jamvini,kama ni mafanikio au matatizo niliyokutana nayo,tuombe uzima

Nimependa sana ii idea lakini ni maeneo gani yanaweza faa kwa kilimo iko cz mkuu dar ni kubwa sana
 
Back
Top Bottom