Naombeni Unix Os

Mwazange

JF-Expert Member
Nov 16, 2007
1,056
79
Wandugu....nina ombi moja; Katika karne hii ya saa la hansi na teke linalokujia inabidi tuendane na wakati, najaribu kuichungulia kuona kama UNIX OS ni mwake, lakini ninapata shida moja, hazipatikani kihivyoo, kuna mwenye nayo humu jamvini? Kama kuna mtu anayo naomba, au niende wapi kuipata...
Aksanteni...
 

Steve Dii

JF-Expert Member
Jun 25, 2007
6,404
1,228
Wandugu....nina ombi moja; Katika karne hii ya saa la hansi na teke linalokujia inabidi tuendane na wakati, najaribu kuichungulia kuona kama UNIX OS ni mwake, lakini ninapata shida moja, hazipatikani kihivyoo, kuna mwenye nayo humu jamvini? Kama kuna mtu anayo naomba, au niende wapi kuipata...
Aksanteni...

Ndugu, naona huja specify aina ya Unix unayotaka.... maana Unix ina exist katika form mbalimbali; distros zote za Linux nijuavyo ni Unix based.

Unix zijulikanazo zaidi ni: FreeBSD, Ubuntu Linux, OpenBSD,Debian Linux, Solaris na Redhat Fedora Linux.

Kama una mpango wa kuinstall hiyo Unix kwenye computer ambazo tumezoea, yaani PCs zinazo run windows, zinatumia IBM architecture i386. site hii itafaa zaidi: http://www.softpedia.com/get/UNIX/Distributions/

Kama unataka kuinstall Unix kwenye platform tofauti na tulizo zoea: nenda kwenye site hii uchague architecture inayokufaa: http://mirrorlist.freebsd.org/FBSDsites.php


Kama unahitaji Unix kwa ajili ya game console yako, PS3, nenda kwenye site hii: http://www.thelinuxshop.co.uk/catalog/index.php?cPath=51&gclid=COeE6rf9iZMCFRWD1Qodk1eOfA
....but you'll need to pay for these.


Good luck,

SteveD.
 

Mwazange

JF-Expert Member
Nov 16, 2007
1,056
79
Shukrani sana....redhat Fedora na Ubuntu ninazo maganjani lakini sioni kunifikisha kokote, anyway nitacheki hizi nyingine nione nazo zikoje then nitawafahamisha....
Na yes mashine ninazotumia ni hizi za kawaida tunazorun windows
Again aksante sana mkuu kwa fast reply
 

Mwazange

JF-Expert Member
Nov 16, 2007
1,056
79
Mtoto mgonjwa hivi sasa, nashindwa hata kukaa kwenye tarakilishi kwa nafasi....lakini nitakapopata muda nitafanya.....Aksanteni sana....
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Top Bottom