Source07
Senior Member
- Oct 5, 2018
- 196
- 352
Habari kwenu wasomi na wabwebwezi wa sheria! Moja kwa moja niende kwenye shida yangu..nimekua nikifahamu makosa au case za jinai zinaendeshwa na Jamuhuri hivyo zinakua ktk mtindo huu..MF:Juma V/s R..lakin basi nimekua nachangamoto ya kuelewa nikatika mazingira gani case zinaweza kua na citation kama zifuatazo...
1-Juma S/o Hoza V/s AG
2-AG V/s Juma S/o Hoza
3-Dpp V/s Juma S/o Hoza
4-Juma S/o Hoza V/s DPP
Naomba kueleweshwa nicase za aina gani/ni circumstances zipi zina Fanya case kua na mifano ya citations hizo??
1-Juma S/o Hoza V/s AG
2-AG V/s Juma S/o Hoza
3-Dpp V/s Juma S/o Hoza
4-Juma S/o Hoza V/s DPP
Naomba kueleweshwa nicase za aina gani/ni circumstances zipi zina Fanya case kua na mifano ya citations hizo??