Naombeni tujadili kidogo hili la Rais Magufuli kugawa pesa

Kumekuwepo na utaratibu wa maraisi wakitembelea sehemu fulani wanatoa ahadi ambazo huja kutekelezwa baadae.
Lkn hali ni tofauti kwa rais wetu Magufuli yeye akija kukutembelea na ukamweleza shida yako basi anaitatua hapo hapo.

Nasikia jana katoa Bilioni kumi ili kujenga nyumba za askari magereza nchini, sasa najiuliza pesa hii ni kubwa sana hivi inatekelezwa kupitua bajeti ipi?

Hivi wite tukitegemea kutatuliwa kero zetu na ziara ya rais kwa kutoa pesa kazi za bajeti itakuwa ni nini?
Unaonekana wewe ni mchanga sana katika masuala ya katiba sheria na kanuni za nchi hii pamoja na mamlaka ya Rais pole sana jielimishe kwanza utapata majibu haya yote tafuta ukweli.
 
Kumekuwepo na utaratibu wa maraisi wakitembelea sehemu fulani wanatoa ahadi ambazo huja kutekelezwa baadae.
Lkn hali ni tofauti kwa rais wetu Magufuli yeye akija kukutembelea na ukamweleza shida yako basi anaitatua hapo hapo.

Nasikia jana katoa Bilioni kumi ili kujenga nyumba za askari magereza nchini, sasa najiuliza pesa hii ni kubwa sana hivi inatekelezwa kupitua bajeti ipi?

Hivi wite tukitegemea kutatuliwa kero zetu na ziara ya rais kwa kutoa pesa kazi za bajeti itakuwa ni nini?
Hivi unadhani hakuwa na dondoo za kule kabla hajaenda. Unadhani hawakuangalia bajeti yao na maombi yao kabla hajaenda. Watu wapo smart usidhani wanakurupuka. Hiz nyingine ni siasa nje ya kapu. Usiumize kichwa chako bure. Fanya utafiti kidogo tuu. Magereza waliomba kwenye bajeti yao mwaka huu wa fedha kiasi gani kwa ajili ya ujenzi wa nyumba za askari wao.Then utapata jibu
 
jibu rahisi,bajeti na sheria yake haifuatwi,anachosema yeye ndio bajeti,bungeni wabunge wanapoteza muda tu.

subiri utasikia yeye mwenyewe kawa tender board,kateua wakandarasi wote wa ujenzi,usimamizi,ushauri.

Baada ya kuwateua,atawashambulia sekta binafsi ya ujenzi
 
Kumekuwepo na utaratibu wa marais wakitembelea sehemu fulani wanatoa ahadi ambazo huja kutekelezwa baadae.

Lkn hali ni tofauti kwa rais wetu Magufuli yeye akija kukutembelea na ukamweleza shida yako basi anaitatua hapo hapo.

Nasikia jana katoa Bilioni kumi ili kujenga nyumba za askari magereza nchini, sasa najiuliza pesa hii ni kubwa sana hivi inatekelezwa kupitia bajeti ipi?

Hivi wote tukitegemea kutatuliwa kero zetu na ziara ya rais kwa kutoa pesa kazi za bajeti itakuwa ni nini?
Haya maswali hutakaa upate majibu yake hadi miisho ya nyakati mkuu. Hivi Budgetary master, paymaster, na CAG wa pesa za serikali ni mmoja siku hizi?!! tutulie tu mkuu sindano iendelee kutuingia hadi tupate akili
 
Serikali hii inashughulika askalitu...... Walimu, madaktari, manesi, wauguzi ...... Hawana nyumba ila hawaonwi..... Serijali inajaritu majeshi na askari wao ili wawakandamize nakuwaonea wanyonge....... Hajabu sana ........ You head government go to the hell ....... .........
 
Back
Top Bottom