Naombeni tufurahi pamoja, mungu kanibariki na mtoto wa kiume. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naombeni tufurahi pamoja, mungu kanibariki na mtoto wa kiume.

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Wa kusoma, Mar 15, 2012.

 1. Wa kusoma

  Wa kusoma JF-Expert Member

  #1
  Mar 15, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 3,315
  Likes Received: 2,245
  Trophy Points: 280
  Ni jambo la kumshukuru Mungu sana kwani amenibariki mimi na mke wangu mtoto wa kwanza mtoto wa kiume.

  Thanks GOD for this blessing. Jamani sisi sote ni ndugu karibuni mnipongeze na tufurahi pamoja.
   
 2. E

  Elizabeth Dominic Platinum Member

  #2
  Mar 15, 2012
  Joined: Dec 7, 2007
  Messages: 4,547
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  Hongera umlee vizuri
   
 3. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #3
  Mar 15, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,160
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  Hongera sana mkuu!
  Tena dume?mkuu umepata bonge la bodyguard!
   
 4. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #4
  Mar 15, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,111
  Likes Received: 3,031
  Trophy Points: 280
  hongera sana.....umlee vizuri asiwe kichwa nazi......
   
 5. Kabakabana

  Kabakabana JF-Expert Member

  #5
  Mar 15, 2012
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 5,559
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Mhh,anyway hongera zako.
   
 6. Edward Teller

  Edward Teller JF-Expert Member

  #6
  Mar 15, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,818
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  hongera zenu wote wewe na huyo mwenzako
   
 7. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #7
  Mar 15, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,041
  Likes Received: 6,479
  Trophy Points: 280
  hongera sana mkuu. Mshukuru sana Mungu kwa kuwapa mtoto salama.
   
 8. Wa kusoma

  Wa kusoma JF-Expert Member

  #8
  Mar 15, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 3,315
  Likes Received: 2,245
  Trophy Points: 280
  Asante sana, Mungu ni mwema.
   
 9. trachomatis

  trachomatis JF-Expert Member

  #9
  Mar 15, 2012
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 3,653
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  Wa Kusoma bana... Haishiwi vituko....
   
 10. Wa kusoma

  Wa kusoma JF-Expert Member

  #10
  Mar 15, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 3,315
  Likes Received: 2,245
  Trophy Points: 280
  Namshukuru sana Mungu, miezi tisa unahudumia hujui nini Mungu amepanga mpaka atokeze nje. Glory to Allmight GOD.
   
 11. trachomatis

  trachomatis JF-Expert Member

  #11
  Mar 15, 2012
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 3,653
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  Mi nilidhani Flora Msoffe....
   
 12. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #12
  Mar 15, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Hongera sana
   
 13. Wa kusoma

  Wa kusoma JF-Expert Member

  #13
  Mar 15, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 3,315
  Likes Received: 2,245
  Trophy Points: 280
  Hawezi kuwa hivyo mkuu, ana malezi yote ya baba na mama. Tuzidi kumwomba Mungu.
   
 14. Reserved

  Reserved Content Manager Staff Member

  #14
  Mar 15, 2012
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 750
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Hongera sana mkuu
   
 15. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #15
  Mar 15, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  Hongera wakuandika!

  Ila kama wee baba ni pasua kichwa hivi itakuwaje?
   
 16. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #16
  Mar 15, 2012
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,574
  Likes Received: 840
  Trophy Points: 280
  hongera sana mkuu, nisalimie familia!
   
 17. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #17
  Mar 15, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  hata mit nilidhani ndiye.

  Hallo Trachy!

   
 18. Wa kusoma

  Wa kusoma JF-Expert Member

  #18
  Mar 15, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 3,315
  Likes Received: 2,245
  Trophy Points: 280
  Mkuu hiki sio kituko and I can not joke on this. This is the real life I live. Ujue watu tuna maisha ya JF, FB nk. But for today haya ndio maisha yangu halisi.
  Narudia tena mkuu; Namshukuru sana Mungu, mke wangu amejifungua mtoto wa kiume as our first born.
   
 19. Wa kusoma

  Wa kusoma JF-Expert Member

  #19
  Mar 15, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 3,315
  Likes Received: 2,245
  Trophy Points: 280
  Ahahaaaa Kongosho kwa nn umesema hivyo? Wa kusoma nabadilika kuendana na mazingira, hivi huwa unaniangalia kule kwenye siasa? Ukizoea kumwona mtu chitchat na Jokes unaweza kumchukulia asivyo. Chukulia siku utakapogundua kuwa PRETA sio mwanamke ila ni mwanaume tena mkurugenzi kwenye moja ya mashirika ya Umma hapa nchini.
   
 20. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #20
  Mar 15, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,160
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  Ebu chagua jina moja hapa mpe,nakuahidi utanikumbuka.
  1.Bedui.
  2.Mkono wa chuma.
  3.Gadaf.
  4.Jemedary
  5.Dictator
  6.Joseph Konyi
  7.Bagdad
  8.Dafur
  9.Wamba dia Wamba
  10.Fidely casto
  Chagua jina moja au mawili hapa mpe.
  Atakuwa mbabe balaa.
  Nchi yenyewe ishaoza hii.
   
Loading...