Naombeni tiba ya kisaikolojia: Mwenzenu nikipanda ndege huwa nawaza hatari tupu

Mimi nina tatizo kisaikolojia nikipanda lift akili inahama kabisa. Juzi nilikuwa JNICC nilipata tabu sana. Nahofia lift itakata umeme.
 
Hiyo 9.8 siyo gravitational force wala kitu chochote, ni namba tu ka namba nyingine! Nadhani ulitaka kuandika gravitational acceleration ambayo ni 9.8 m/ second squared! Humu ndani kila mtu anajitutumua aonekane mjuaji kumbe wengine wanaboronga hata walichotaka kuandika!
Mimba yako imekujia vibaya inaelekea
 
Mie huwa ikianza kutua masikio yanauma balaa had kichwa nahisi kinataka bomoka,hako ka hali huwa kananikwaza sana
 
Back
Top Bottom