Naombeni tafsir ya hili neno

Extrovert

JF-Expert Member
Feb 29, 2016
67,004
173,644
Kuna haka kaneno nimekuwa nikikasikia mara kwa mara kanatumika na watu marika tofauti naweza kuita ni msimu "Hoves" ama "Hovesi" huwa maana yake ni nini? Anaejua anifafanulie tafadhali.

Mfano:
1.Eh bwana jana usiku nilikuwa hoves vibaya mno.
2. Nimeenda kwa Fareed nikakuta yupo hoves.

Huwa inamaanisha nini hili neno?
 
Kuna bibi mmoja alirekodiwa akajifanya anasema kingereza cha uwongo na kweli ndio alisema hilo neno sijui alikuwa anmaanisha nini. Hiyo video ilikuwa viral mwaka jana. Watu watakuwa wanamuiga huyo bibi ila sasa sijui wanamaanisha nini
 
Me nadhani wana maana hizi...
1. Jamaa kapigika AU
2. Jamaa mtu wa mizinga sana
 
Back
Top Bottom