Naombeni orodha ya waliotemwa nafasi za Ukuu wa Wilaya

Yule wa Tanganyika jamaa mwembamba fulani hivi, nafikiri yupo vizuri labda atapangiwa kazi nyingine.
 
Naona kila sehemu ni orodha ya walioteuliwa tu

Naomba mwenye orodha ya waliotemwa tuiweke hapa tuione..

Nataka kuona yupi labda alikuwa mchapakazi katemwa 'kimakosa'..

Mwenye nayo please naomba iweke hapa

=====
Mimi pia nimetemwa nasubiri UDAS
 
10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom