Nichumu Nibebike
JF-Expert Member
- Aug 28, 2016
- 8,660
- 15,744
Atayezipata nyimbo hizi anaweza pia kuyapata makalio ya nyoka!
Mtani jirani sio wimbo wa Juma nature ni wimbo wa Joint Mobb ila Juma nature alishirikishwa tu.Please mwenye nyimbo hizi za bongo flava naziomba
1. Mtani jirani - Juma Nature
2. Kicheko tu - BDP
3. Kula kona - Manzese Crew
4. Bosi - BWV (from mwanza kirumba)
5. Haki - Mr II Ft Justine Kalikawe
6. Bamiza - Xplastaz
7. Watu bwana - Zig Zag
8. Ahadi za bosi
9. Ndani ya Club - DJ Simba Ft Solo thang
10. Utulie wangu mpenzi - Jacky Marie
11. Mguu nje - GWM ft Balozi dola soul
12. Ni mimi - Mr II
13. Nataka niseme mimi - Neck breakers
14. Posta - Sonell
15. Voice Mail - Oten
Shukrani tele nikizipata, ...old is gold
Please mwenye nyimbo hizi za bongo flava naziomba
1. Mtani jirani - Juma Nature
2. Kicheko tu - BDP
3. Kula kona - Manzese Crew
4. Bosi - BWV (from mwanza kirumba)
5. Haki - Mr II Ft Justine Kalikawe
6. Bamiza - Xplastaz
7. Watu bwana - Zig Zag
8. Ahadi za bosi
9. Ndani ya Club - DJ Simba Ft Solo thang
10. Utulie wangu mpenzi - Jacky Marie
11. Mguu nje - GWM ft Balozi dola soul
12. Ni mimi - Mr II
13. Nataka niseme mimi - Neck breakers
14. Posta - Sonell
15. Voice Mail - Oten
Shukrani tele nikizipata, ...old is gold
Aisee na mhenga mwenye wimbo wa dani msimamo "siku nzuri" anisaidie tafadhari!
Huo wimbo wa jack mbona hauko na quality nzuri..aliye na audio yake yenye 320kb auweke hapa
Mkuu kama una nyimbo ya Machozi Jasho na Damu ya Prof Jay naomba tafadhali.Ni PM namba yako na vocha ya buku kwa ajili ya kifurushi cha kutuma.Am serious