Travis wright
Member
- Jun 7, 2013
- 14
- 1
Nimepata one ya 15 na nahitaj shule ya private ambayo ada yake ni nafuu kidogo na ina faulisha vizuri iwe ya mchanganyiko...msaada wenu please!
Kwann iwe ya mchanganyiko, Unafata masomo au Kabang?
co hvyo..cjazoea boys tupu toka o level
Nimepata one ya 15 na nahitaj shule ya private ambayo ada yake ni nafuu kidogo na ina faulisha vizuri iwe ya mchanganyiko...msaada wenu please!
Ubungo islamic high school
st anthony mbagala high school
shaban robert high school
dogo wewe ndo unatakiwa ufaulu siyo shule kukufaulisha!!
Popote maisha yanaenda ukijipanga!!
nakubaliana na wew lakin shule nayo inahusika hasa kwa hiyo combination
Arusha secondary ni sehemu perfect kwako
kikubwa ni kujitambua, hata hizo shule unazoziita nzuri unaweza ukaendaa na ukafeli!!
Mi nakushauri nenda shule utakayopangwa!!
nashukuru...lakni hizo shule zna gharama sana..wazaz wangu hawawez kumudu
Nenda majengo sec
ukichaguliwa gvt tambaza au kibaha nenda hukhuko ucjisumbue kutafuta private
huyu dogo vp akili zake kama za wale mbunge mume na mke,kasome wewe