John Doctor
New Member
- May 5, 2017
- 4
- 2
Chemistry ya Advance ina sehem nyingi kama vile. General chem, Physical chem, Organic Chem na Inorganic chem. Sasa je kwa mtu anayeanza form five aanze na kipi na ni mtiririko upi aufuate ili kumaliza sylabas yote ya Advance. Msaada wenu jaman.