Naombeni msaada wenu nimepatwa na hili janga

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Oct 31, 2014
5,321
11,410
Leo nimeamka asubuhi koo linawasha. Baada ya muda nikaanza kohoa na kukamatwa na mafua makali sana. Binafsi sipendi mafua na kukohoa. Ila napenda sana kupiga chafya.

Ikabidi nianze harakati za kupambana na mafua na kikohozi. Nikachukua Tangawizi nikasaga, nikachukua limao nikakamulia, nikachukua vitunguu thoumu/ swaumi nikasaga.nikachukua na pilipili mbuzi nikasaga. Nikamalizia na mdalasini vyote nikachanganya na asali mbichi.nikanywa.

Mchana nikanywa tena kwa wingi na juice ya watermelon.hali yangu ilibadilika sana.nikaanza kutokwa jasho jingi sana.na kukojoa sana nakojoa narudi nakaa naenda tena kukojoa mkojo umechange kiasi flan color yake.

Jambo lililonishtua ni kuwa mashine imesimama sana mpaka inauma. Nmejisikia maumivu makali sana sababu ya kusimama kwa mashine kwa muda mrefu.

Wakati huo wote jasho linanitoka na joto limepanda sana ila cha kushangaza najisikia mwili upo fresh. Nimeenda oga najisikia vizuri kabisa. Hali hii imenishtua sababu ya jasho kunitoka jingi na pia uume kusimama kwa kukaza mpaka maumivu.

Mafua yamekata kwa kiasi kikubwa pua zilikuwa zimeziba sasa ni mchuzi tu unachuruzika zimefunguka nahema vizuri. Je hii inaweza kuwa ni sababu ya nini? Sijataka tena kunywa huo mchanganyiko, nimeona niulize wataalamu maana nisije nikafa bure.
 
Hivi huu uume kwani unasimamagaje?

Haukazi kila Mara?

Ama samtaim unazinguaga hausimami mpaka mwisho?
 
Aisee!! Inawezekana. Ila why pia jasho linatoka sana? Daaah!! huu mchanganyiko ni balaa.
🤣🤣🤣Pole sana.Tangawizi, limao ,vitunguu thoumu/swaumi, pilipili mbuzi na mdalasini mix yake .Inakuwa umetengeneza Viagra.next time uwe makini utaweza kubaka bure ukaishia gerezani kwa miaka 30.
 
Elewa kuwa umesimama kwa muda mrefu. Damu inajaa kwa kasi sana eneo hilo au kwa nguvu zaidi.so inapelekea maumivu. Ungekuwa mwanaume ungeelewa.

Hivi huu uume kwani unasimamagaje?

Haukazi kila Mara?

Ama samtaim unazinguaga hausimami mpaka mwisho?
 
Nikachukua Tangawizi nikasaga,nikachukua limao nikakamulia,nikachukua vitunguu thoumu/swaumi nikasaga.nikachukua na pilipili mbuzi nikasaga.nikamalizia na mdalasini.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom