Naombeni msaada wenu ndugu zangu, napata shida sana

Mkuu uwa ni hatari sana nilishakutana na loose ball ana tatizo hilo nilimkimbia usiku nikamuacha hotelini. Yani inakata stimu kabisa
Ni keli. Hamuna laha ya mapezinkabisa. Utamani kufanya maana halufu ni kali sana
 
Nilisha wahi kuwa kwenye uhusiano wa kimapenzi na binti/mwanamke/msichana mwenye hiyo hali.

Mwanzoni hakuwa anatoa harufu ya kukera(alikuwa na harufu ile ya asili ya papuchi)

Kuna siku alikuja kwangu ile nataka kumvua nguo nikawa nasikia harufu fulani hivi isiyo ya kawaida.

Nilimvua chupi ile harufu niliyoisikia ilikuwa kali mno.

Nilimchana ukweli japo ilijihisi mnyonge sana.

Nilimpeleka maabara akapimwa majibu yakatoka tukaenda Pharmacy tukanunua dawa akaanza kumeza.

Ndani ya wiki moja akapona kabisa

Nikaanza kujilia vyangu.

Mwambie ukweli halafu msaidie apone.
 
Back
Top Bottom