Michael Amon
JF-Expert Member
- Dec 22, 2008
- 8,775
- 3,610
Naombeni msaada wenu wataalamu wa business kuhusiana na aina mbali za business registration. Ninaomba kupata maelezo kuhusiana na aina mbali mbali za business and company registration. Kwa upande wangu mimi naelewa aina mbili za company registration ambayo ni Private company na public lakini kuna baadhi ya company extetions ambazo nimeziona katika baadhi ya makampuni na sijaelewa maana yake na usajili wake kama vile Radiant Scope Inc. na Microsoft Corporation. Hizo extension mbili za Inc na Corporation sijui kabisa maana yake na namna ya kusajili business au kampuni yako iwe na extension hizo.
Pia ningependa kupata maelezo kuhusiana na business resgitration mbali mbali kama vile individual, partnership, sole proprietor. corporation n.k
Natangulisha shukrani zangu za dhati kwa yeyote ambaye atajitolea kunisaidia katika hili.