Ninapiga simu sana kutoka hapa USA kwenda Tanzania miaka miwili na ushei hivi. Najaribu kupata cheap phone cards lakini naona kila nipatapo kampuni mpya nazidi kuumia tu. Kadi zote nilizowahi kutumia gharama ziko juu sana. Can anyone advise me on which company should i start buying my cheap cards from? Najua wazoefu mtanisaidia. Thanks in advance!