Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,504
- 28,691
Kwasasa nipo chuo kikuu naelekea kuhitimu, ila nafsi yangu haina amani, nimesoma shule ya kata, changanya na utoto, na ukosefu wa walimu, nikapata div 2 ya 21 mwaka 2010,
Lakini hadi leo nafsi inaniuma nahitaji nirudie masomo ambayo nilipata alama ambazo zilichangiwa na utoto, ukosefu wa walimu, mazingira duni,
Nahitaji nirudie masomo haya nipandishe alama , Physics nilipata C, hesabu nilipata C ,chemistry nilipata B ,biology nilipata C, english nilipata F,
Nahitaji niyarudie haya masomo nauhakika nikiyarudia nitapata A zote, labda english nahitaji walau nipate C,
NAOMBENI USHAURI JE INARUHUSIWA KUYARUDIA ,?
NAHITAJI NIKACHUKUE FORM MAPEMA ,KAMA INAWEZEKANA,
Mwez wa 7 namaliza bachelor yangu ,nahitaji mwez wa Kumi ninavyofatilia chet cha chuo, nikipitie na cha form 4 kikiwa na A's kuanzia 3.
Sent using Jamii Forums mobile app