Naombeni msaada wa ufafanuzi kuhusu RITA

steve_shemej

JF-Expert Member
Nov 26, 2015
1,092
1,433
Nilikuwa nafuatilia cheti cha kuzaliwa nukajaza taarifa zangu kupitia mtandao wa RITA

Sehemu ya viambatanisho nimeweka kitambulisho cha mpiga kura tu kitambulisho cha nida nilikosa lakini ikalubali na imenipa control number je ombi langu kinaweza kataliwa ikiwa nimeshalipia?

Nimeuliza hivyo maan kunamtu yeye katumia barua ya mwenyekiti tu kapata cheti je Mimi? Inaweza system ikakataa?
 
Back
Top Bottom