Naombeni msaada wa swali hili

Mtatamtatuzi

New Member
Oct 31, 2021
2
1
Mimi ni graduate wa Sua Bsc. Biotechnology and Laboratory sciences (BLS) ambayo ni more applicable research and Laboratory issues, japo kwa Lab za hospital kuna changamoto kubwa juu ya kukosa wizara.

Hoja yangu kwenu ni:

Je, ninaweza kupata nafasi katika chuo chochote kusoma short course ili niwe specific Medical Lab? Je, nitaweza kupata leseni? Au nifanyeje ili niingie na nitambulike katika wizara ya afya? Maana staki kusoma masters,

Yeyote mwenye maoni, mawazo au mchango wa chochote, napokea, karibuni
 
Back
Top Bottom