Naombeni msaada wa mbinu na connection za kuweza kubalidi course UDOM

Mgiriki MTz

JF-Expert Member
Dec 27, 2019
330
270
Habari zenu wadau,husika na kichwa cha uzi hapo juu naomba kujuzwa mbinu,ujanja na connection ambazo watu wanatumia hadi wanafanikiwa kubadili course hapo Udom.

Kwa ufupi mimi nimechaguliwa nursing udom lakini ndoto zangu zilikuwa ni kusoma MD. Nawaza nikifika chuo zikitokea chance za kujazia nafasi MD niombe tena,kwa mujibu wa TCU vigegezo ninavyo,sasa hapo ndio naomba wadau mnipe ramani hata PM.

Nawasilisha.
 
Nursing sio mbaya mkuu, Afu Kwa uzoefu wangu mdogo nilionao Hapo UDOM wanabana sana Nursing kwenda MD ila ajabu unaweza kuta njemba toka Bsc in Biology linahamia MD kiroho Safi tu!!

Iko hivi report wiki ya Kwanza kabisa hapo CHUO utapata utaratibu wore!!
 
Sawa mkuu
 
Back
Top Bottom