Naombeni msaada wa matibabu ndugu zangu

Sex haipunguzi mwili.

Kisukari pia husababisha miguu kuvimba.

Mwili utapungua kwa mambo mawili ama operation au mazoezi.

Mimi nitakua personal trainer wako. We do everything right ndani ya wiki sita tutakua kwenye speed ya kuelekea right path ila sasa nipigie krosi dongo hapo ofisini kwako ili nisife njaa hapo mjini.
 
Tiririkeni nichukue tips nimpe mdogo wangu...
Ana hii shida, kg zake ni 62 na points.

Miss Natafuta mdogo wangu nae ana hii changamoto mazoezi anaruka kamba lkn no changes. Hosp alipima 4 majibu yanakuja tofauti tofauti mpaka tunashindwa tuchukue lipi.

Hosp moja akapewa stocking 'zinazaidia ila analalamika zinabana Sana.

Mimi navimbaga miguu nikisafiri mkoa to mkoa.
 
Kama Ni kupunguza uzito fanya intermittent fasting.Ukiwa serious utatoka from hio 96 to 78 ndani ya miezi 3 tu.Ingia YouTube andika Dr.Jason Fang Intermittent fasting.Mimi Ni shuhuda wa hilo.
 
Quit the following foods
Nyama nyekundu hapa tumia samali
Ngano kwa aina zake
Pombe
Sukari
Wanga
Kula kwa wingi
Mbogamboga
Protini
Matunda kwa aina zake
Mlo wako uwe na mboga na matunda mengi kuliko chakula
 
Quit the following foods
Nyama nyekundu hapa tumia samali
Ngano kwa aina zake
Pombe
Sukari
Wanga
Kula kwa wingi
Mbogamboga
Protini
Matunda kwa aina zake
Mlo wako uwe na mboga na matunda mengi kuliko chakula
Nashukuru mkuu
 
Pia zingatia sana ushauri wa madaktari hasa kuhusu matumizi ya dozi au madawa unapopata magonjwa mengine kama malaria nk..
Mchumba angu alikuwa na shida ya figo alifikia hatua hiyo ya kuvimba miguu,bila kujua alitumia dozi ya minyoo ya albendazole bila ushauri wa daktari,dah aliungua vibaya ndio ikapelekea hali ikawa mbaya sana sana sana.
NAKUOMBEA MUNGU AKUPONYE NA AKUTIE NGUVU.
 
Ipo dawa ya kupunguza mwili elf10 tu ni ya asili matokeo ni chap within a week unaona changes..na imetengenezwa kwa vitu asili 100%....vitambi manyama uzembe ile ndo kiboko yake walengwa mnaohitaji mnione
 
Hacha kula vyakula vyenue calories nyingi, usipende nyama, usile sana vyakula vya mafutamafuta, kula mchana ugali na maharage jion wali na kabichi au wali na mboga za majani, fanya hvyo mwezi moja, utazoea ukipita siku ya 21 na baadae mwili utapungua wenyewe,
Miguu kuvimba ni kwakuwa stress inayopata ni kubwa, na kilo 96 ni nyingi sana kwa mwanamke
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom