Naombeni msaada wa kupatiwa hivi Vipengele viwili kutoka katika Katiba ya Tanzania, Biblia na Quran kwani hawa Wanawake wanatuchanganya sasa!

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,546
108,875
" Ni Jukumu la Mwanaume kumlea na Kumuhudumia Mwanamke / Mpenziwe kwa kila Kitu na ni mwiko kwa Mwanamke kutoa Pesa yake akiwa na Mumewe kwa chochote au lolote lile kwani Mwanaume ndiyo kila Kitu "

Naombeni Kifungu kinachohalalisha hii Kauli kutoka katika Katiba ya Tanzania na Vitabu Vitakatifu vya Biblia na Quran.

Nawasilisha.
 
Huu ni mfumo dume ambao ulishapingwa kule Beijing China na wanawake wenyewe---Women China Declaration
 
Mkuu hii kitu ina utata sanaa
lakini siyo siri Dada zetu wanazingua sanaa
unakuta mtu anakikazi chake lakini akipata mshahara wote unaishia kichwani na tumboni ukimuliza anasema "ooh c ulinikuta kwetu napendeza kama umeshindwa kunihudumia naondoka kwetu"

lakini c nasikia maandiko yalisema kabisa "Mwanaume atakula kwa jasho na pia ATAKUWA muhangaikaji"?

kuna nyumba ya rafiki yangu kiboko Yule mwanamke hata akitoa pesa yake mumewe akija atasema amekopa na wakati huo pesa ni yake katumia kununua unga au mboga au kulipa v deni kidogo
yaani.pesa yake haishikiki kwa mwanaume

watu kama Hawa wanatufanya tusioe tuishie kuzalisha
 
Kwenye biblia hiyo kifungu hakuna.
Alafu si kila kilicho andikwa kwenye bible nichakufata, mengine yalikua ni maelezo tu ya maisha na kanuni za watu wa zaman wa mataifa.

Labda vitabu vingine.
" Ni Jukumu la Mwanaume kumlea na Kumuhudumia Mwanamke / Mpenziwe kwa kila Kitu na ni mwiko kwa Mwanamke kutoa Pesa yake akiwa na Mumewe kwa chochote au lolote lile kwani Mwanaume ndiyo kila Kitu "

Naombeni Kifungu kinachohalalisha hii Kauli kutoka katika Katiba ya Tanzania na Vitabu Vitakatifu vya Biblia na Quran.

Nawasilisha.
 
unakuta hadi nauli ya kuja wazazi wake anataka utoe wewe .

ukimkataza kufanya shughuli atalalamika mtaa mzima lakini ajabu akifanya HATAKI pesa yake uishike wala uijue..

Wanawake badilikie kwa kweli
 
Hao viumbe ni kuishi nao kwa akili tu, ukitafuta weakness yake atakuheshimu had akome.

Mim nilikua na demu wangu ni mbish hatar, lakin weakness yake ilikua hawez kutafuta michepuko sasa mm alikua akinisumbua, nafunga mkataba wakuitengeza papuch yake nampiga romance alafu nakataa kutoa mashine, hapo ujuaj wote unamuisha atakubali chochote utakacho ndo mengine yaendelee
Mkuu hii kitu ina utata sanaa
lakini siyo siri Dada zetu wanazingua sanaa
unakuta mtu anakikazi chake lakini akipata mshahara wote unaishia kichwani na tumboni ukimuliza anasema "ooh c ulinikuta kwetu napendeza kama umeshindwa kunihudumia naondoka kwetu"

lakini c nasikia maandiko yalisema kabisa "Mwanaume atakula kwa jasho na pia ATAKUWA muhangaikaji"?

kuna nyumba ya rafiki yangu kiboko Yule mwanamke hata akitoa pesa yake mumewe akija atasema amekopa na wakati huo pesa ni yake katumia kununua unga au mboga au kulipa v deni kidogo
yaani.pesa yake haishikiki kwa mwanaume

watu kama Hawa wanatufanya tusioe tuishie kuzalisha
 
Wanaume bwana...acha tuwape sikio kwa leo.....manake nasi tukikaa kilingeni tunagundua kumbe wababa wengi siku hizi nao wamegoma kuhudumia nyumba....akina mama wamekuwa akina 'baba' kwenye nyumba nyingi tuu...Nasubiri kama kuna hata atakayekiri kwenye uzi huu....
 
Back
Top Bottom