Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama hutojali, taja bajeti yako kwanza au basi eleza kama ni mkoa wa Kilimanjaro mzima unataka kuu-cover, pia napenda kuuliza kama ulishapata licence kutoka tcra ya kubroadcast FM katika mkoa wote au sehemu ya mkoa.... (samahani kwa kuanza na maswali haya)
SteveD.
Asante sana. Nipo katika stage ya kuwazia mradi huu, sina bajeti bado na nilikuwa sijui ni vifaa gani vya kutafuta na wapi pa kuombea kibali. Mashukuru sana.Kitia, nimecheck check nakuona links kadhaa, naomba uzitazame kama zinaweza kukusaidia.
Nikitumaini kuwa siyo pirate radio station inayoanzishwa; yafuatayo ni mambo basic nijuayo yanahitajika ili kurusha matangazo katika FM:
--licence ya biashara (kama unapata income kwa ads)
--licence ya bandwidth (kutoka tcra ili wakupe spectrum/frequency)
--microphone nzuri (at least mbili kuanzia)
--sound mixing console (mixer)
--transmitter antenna na amplifier yake
--sound system (computer or standalone systems - to source sound)
--phone-in line system (preferable)
--
--
--mengineyo kuongeza ufanisi ..... na...
--(wasikilizaji walengwa !! )
links: --http://www.broadcastwarehouse.com/fm-transmission/6/cat (wako aghali kidogo hawa)
--http://www.aareff.com/24werpfmtransmittersystem.htm (hawa wako nafuu kidogo)
--http://members.tripod.com/~transmitters/links.htm (hawa wanatoa karibu links zote za wasambazaji wa transmitters)
Baadae, goodluck.
SteveD.
Dah mkuu ungelocate kwanza mkoa unao taka kufungua then wadau watakusaidia kutokana na mkoa husika maana kwa Dar utaambiwa FM imejaa nenda Lindi au Kagera.
Dah mkuu ungelocate kwanza mkoa unao taka kufungua then wadau watakusaidia kutokana na mkoa husika maana kwa Dar utaambiwa FM imejaa nenda Lindi au Kagera.
pls njoo na mkoani kwetu, halafu uwenyekiti wa kijiji unakuhusu..teh tehkuna watu wameniomba mkoani kwao kuna radio moja tu.
Amoeba usiwe na wasi2 nitakupa msaada wote maana mimi nina mradi kama huo.Nafurahi sana watanzania wanapochangamka.Hebu ni PM nikupe all details.