newmzalendo
JF-Expert Member
- Mar 23, 2009
- 1,378
- 550
unataka kuweka radio mkoa gani? na unalenga aina gani ya radio,FM /AM or Digital. hayo ndio maswali ujiandae kuyajibu na kuyatoelea maelezo ya kina.kwa sasa TZ inapanga kusajili Digital Radio only.
Dar itakuwa ngumu kidogo kwani wajanja hawataki ongezeko la FM radio hivyo basi inabidi ulazimishe via "network" ya nguvu e.g via Riz1,Baba Riz1,or Ministers wahusika ndo TCCRA wakufikirie.si unajua Radio ni kitu muhimu sana ktk kampeni za Siasa.
mikoani ni rahisi kidogo kupata Leseni.