Angalia website yao tena,wametoa majina ya wale waliofanikiwa kupata mkopo tu!hi wadau naomba msaada wa kujua lini udom watatoa majina ya watu walio omba kupitia mature age entry.........mpaka leo hakuna tangazo lolote khs admission ya mature....wakati chuo kinafunguliwa soon tu hapa.
Udom bwana wamecopy yaleyale ya TCU mbona hawajaonyesha kua hawa wameomba kupitia TCU,Mature age au Equivalent kama vyuo vingine wanavyotoa majina?.Nilikuwa UDOM leo admin office wamesema watatoa hivi karibuni, wataingiza kwenye web yao The University Of Dodoma.
Wanafunzi wa udom hawana akili timamu. Kila kitu wanakuja jf. Upuuzi mtupu.
Kwan JF ni ya watu gani?. We ndo mpuuzi zaidi kwani unaleta ubaguzi ndani ya jamii!Wanafunzi wa udom hawana akili timamu. Kila kitu wanakuja jf. Upuuzi mtupu.
Naomba nieleweke Udom imejaa vilaza .
Kilaza ww mwenyewe, coz akili yko inaelekea iko chini.
ingekuwa chini si ningesoma udom kama wewe?
Ukistaajabu ya musa utayaona ya filaun na mkumbuke ya kwamba a toad cannot run on a day time for nothing na kila problem come with gift so acheni malumbano kila m2 amaind his/her own bussness.wa2 2napanga mikakati ya kupata GPA kubwa nyie mnarushiana madongo kavipi fungeni hizo akaunt zenu.lets think positevely kujenga Taifa letu
we kilaza unajivunia nini....km ni kusoma kwn ivyo vyuo unavyofikria hata mimi nimesoma na sasa nipo udom nafanya degree nyigne unachojivunia nini wewe mjinga na helimu yako ya kudesa.....tupa kule