Tetesi: NAOMBENI MSAADA WA KISHERIA NDUGU ZANGU

kibovu

JF-Expert Member
Apr 17, 2017
661
686
Wakuuu habari zenu na pole na majukum,Mimi ni mtumishi mwalimu nimesoma Bachelor Degree in Adult Education and Community Development.

Ndugu zangu AFISA UTUMISHI NIMEMUANDIKIA BARUA ANIHAMISHIE IDARA YA MAENDELEO YA JAMIII AMEGOMA AMEDAI SINA SIFA .NDUGU ZANGU NAOMBENI MSAADA WENU WA MAWAZO MNISAIDIE KATIKA HILI.

SHUKRANI
 
Kwenye muundo wa maafisa maendeleo ya jamii hakuna sifa ya kielimu inayoitwa bachelor of adult education and community development.

Ni kweli hauna sifa zinazohitajika kimuundo
 
MKUU UNAJUA MIUUNDO PALE INATENGENEZWA HIZI KOZI ZINGINE HAZIKUWEPO KAKA HII KOZI INA MAENDELEO YA JAMIII BUSARA KIUKWELI INAHAITAJIKA
 
Lazima ujue kuwa wewe ulisomea ualimu kama taaluma hiyo maendeleo ya jamii ni ulikuwa unagusiwa tu kidogo huwezi kuwa sawa na mtu aliyesomea maendeleo ya jamii kama taaluma.. hizi kozi zinazochanganywa kwenye ualimu zinawachanganya sana
MKUU UNAJUA MIUUNDO PALE INATENGENEZWA HIZI KOZI ZINGINE HAZIKUWEPO KAKA HII KOZI INA MAENDELEO YA JAMIII BUSARA KIUKWELI INAHAITAJIKA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kuna wenzako wanaitafuta nafasi kama yako wanaikosa wewe unaipata unataka kuhangaika....sasa huko maendeleo ya jamii unataka kwenda kufanya nini...?
Ale taratibu hapo alipo. Kama anafaa kwa kazi ataonekana tuu.
Avumilie anaweza kuwa Boss wa huyo afisa baadae.
 
HAYO NI MAWAZO YA KIMASIKINI KUMBUKA MIMI NA TAALUMA YA MAENDELEO Y JAMIII
 
Ale taratibu hapo alipo. Kama anafaa kwa kazi ataonekana tuu.
Avumilie anaweza kuwa Boss wa huyo afisa baadae.
MKUUU NAKUSHUKURU KWA MAONO YAKO BUT SIKU ZOTE HAKI INAPOMINYWA HATUTAKIWI KUKAA KIMYA TUPAZE SAUTI
 
MKUU UNAJUA MIUUNDO PALE INATENGENEZWA HIZI KOZI ZINGINE HAZIKUWEPO KAKA HII KOZI INA MAENDELEO YA JAMIII BUSARA KIUKWELI INAHAITAJIKA
Kwa sasa tunasimamia miundo inasemaje, mpaka pale mabadiliko yatakapofanyika kwenye miundo tuliyonayo.

Kwa sasa wewe huwezi kufanyiwa recategorization kuwa Afisa maendeleo ya jamii,

Afisa utumishi hana kosa lolote hapo,kosa ni lako uliyesoma coz bila kujua unataka kuwa nani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom