Naombeni msaada wa haraka

dizzled

Senior Member
Nov 14, 2016
127
60
ninapata maumivu makali upande wa kushoto kifuani....maumivu yanasambaa mpaka kwenye bega na mkononi kisha mgogoni inafikia hatua nashindwa kulala kiubavu kwa upande wa kushoto nmeenda hospital nmega x-RAY pamoja na ECG hmn tatizo
 
Jinsia,umri wako miaka mingapi,uzito wako ni wa kawaida?na hayo maumivu ni wakati wowote au pale unapofanya shughuli za hapa na pale?
 
Ilinitokea hiyo hali lakini kwangu ilikuwa upande wa kulia nilipopiga x ray ikagundulika ni TB mkuu na mapafu yalikuwa na maji. Nilitumia dawa za TB mpaka nilimaliza dozi ninamshukuru Mungu sasa hali yangu imekaa sawa.

Naomba ukafanye vipimo zaidi hivyo ulivyosema sio mwisho wa vipimo kwa technoligy za hivi sasa.
 
jinsi ni ME,miaka 30, kilo 78, urefu 180cm maumivu yanakuja na kupotea japo yanakaa muda hata nicpofanya kazi
 
sawa
Ilinitokea hiyo hali lakini kwangu ilikuwa upande wa kulia nilipopiga x ray ikagundulika ni TB mkuu na mapafu yalikuwa na maji. Nilitumia dawa za TB mpaka nilimaliza dozi ninamshukuru Mungu sasa hali yangu imekaa sawa.

Naomba ukafanye vipimo zaidi hivyo ulivyosema sio mwisho wa vipimo kwa technoligy za hivi sasa.[/QUOTE
Ilinitokea hiyo hali lakini kwangu ilikuwa upande wa kulia nilipopiga x ray ikagundulika ni TB mkuu na mapafu yalikuwa na maji. Nilitumia dawa za TB mpaka nilimaliza dozi ninamshukuru Mungu sasa hali yangu imekaa sawa.

Naomba ukafanye vipimo zaidi hivyo ulivyosema sio mwisho wa vipimo kwa technoligy za hivi sasa.
ssawa mkuu nashukuru
 
ninapata maumivu makali upande wa kushoto kifuani....maumivu yanasambaa mpaka kwenye bega na mkononi kisha mgogoni inafikia hatua nashindwa kulala kiubavu kwa upande wa kushoto nmeenda hospital nmega x-RAY pamoja na ECG hmn tatizo
Mkuu Nitafute kwa wakati wako nipate kukutibia upate kupona.
Ukiwa na Shida yoyote ile
Usipo pona kwa Dawa za Hospitali nitafute mimi nipate kukutibia upate kupona ukihitaji matibabu yangu
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili mzizimkavu.
 
Back
Top Bottom