Naombeni msaada wa haraka wa kuelimishwa kuhusu HOMA YA MANJANO(Yellow Fever)

Hata sasa sickle cell kwa mtoto au mtu asiekuwa na uwezo anatibiwa bure kabisa.
Kuna watu wa ustawi wa jamii wanathibitisha kama mgonjwa hana uwezo kisha anapata tiba bure.
Wapi mkuu wanapata matibabu bure au ni ktk hospitali zote za serikali?
 
Wapi mkuu wanapata matibabu bure au ni ktk hospitali zote za serikali?
Hospital za serikali hasa ngazi ya wilaya na kuendelea.

Au kwenye vituo vikubwa vya afya vinavyo milikiwa na serikali.
Mgonjwa yupo wilaya gani?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom