Naombeni msaada wa haraka niokoe maisha ya baba yangu Hospitali ya Muhimbili

Pole sana mkuu
Vipi amefariki baba ake au??? Yani kiukwelii haya mambo magumu sana kuna manesi wengine au Dr ukitumia Cheo chako ndo unaharibu kabisa na hawa ni 98% labda kama ni ndugu wa mtu wanafanya nae kazi lakini Wana attitude sana ukitaka kuwacontrol. Ila kiukweli jamaa atumie tuu Cheo chake potelea pote tena amuitee yule mkuu wao manesi sio apigizane kelele na manesi direct amuite Incharge wao na Dr on duty au DNS kabisa...hapo atawaweza

Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
 
'…kuboresha maslahi ya Wafanyakazi zipo njia nyingi sana sio lazima kuongeza Mishahara…' tatizo limeanzia hapa, unachohudia kwa baba yako ni matokeo tu ndugu

Zungumza nao hao Manesi mtaelewana tu watakusaidia,
 
Mleta mada yani mzee kakusomesha ili upate icho kinafasi afu unataka kutwambia nn apa....embu fanya jambo bwana
 
Mzee aweza kuwa kashaenda zake ila huyu mwanaye kaona asilete mrejesho jukwaani maana ataonekana mpumbervu kuliko maelezo.

Anyway, Ni Uzembe Wako.....POLE.
 
Kuwa.mpole kila MTU akiwa ofisini kwake anahitaj heshima na kujimwambafy ongea nae kiupole akusaidie binadamu wote wanapenda kuwa appreciated

Huu ndo ushauri, ila kama atajielewa sana, you can win a woman soul in a minute, praise her, bla bla, have that smile, and get back what you want!
 
Sema Sasa icho kitu chakufanya ili wengine wasifike kwenye oxygen.
 
Tuambie mkuu nini cha kufanya ‍♀️
 
Mgonjwa wa Corona ni rahisi sana kupona kabla hajafikia hiyo stage ya kuwekewa oxygen.Kwa nini umekaa kimya hadi amewekewa oxygen halafu ndiyo unataka ushauri?Ingekuwa alikuwa bado hajawekewa oxygen ningekuambia cha kufanya.
Tuambie
 
29 Reactions
Reply
Back
Top Bottom