Naombeni msaada: Simu inashindwa kupakuwa file za pdf

EveningStar

JF-Expert Member
Nov 14, 2018
262
162
Habari zenu wakuu,

Nina simu yangu aina ya "Huawei Y3 Lite", hivi karibuni nimepata tatizo moja, kila nikidownload pdf file inanipa ujumbe huu " The file could not be downloaded.Please save the file to your local storage and then try to open it". Sasa kila nikitafuta hizo options sizioni. Naombeni msaada wenu mwenye kujua hili.

Ahsanteni!
 
Unatumia reader gani kusomea vitabu kweny simu yako?
 
Vipi na wps office imegoma..Hebu download document halafu ihifadhi kwenye file kisha fungua hiyo document itakuletea option ya kuchagua utumie reader gani..
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom